Saturday , March 23 2019

Home / BURUDANI / Dkt. Mwakyembe: Chaneli ya Utalii Itasaidia Katika Kukuza na Kutangaza Sekta ya Utalii Nchini

Dkt. Mwakyembe: Chaneli ya Utalii Itasaidia Katika Kukuza na Kutangaza Sekta ya Utalii Nchini

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akizungumza wakati wa uwasilishwaji wa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leoJ ijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, Kulia ni Waziri Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kingwangalla pamoja na Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.

Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (wapili kulia) akichangia mawazo baada ya kuwasilishwa kwa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leo Jijini Dodoma. Kulia ni Waziri Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kingwangalla wengine ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Mhe.Abdallah Ulega

Waziri Maliasili na Utalii, Dkt.Hamis Kingwangala (Kulia) akiwasilisha mchango wake katika kikao cha kupokea taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa wadau wa Mradi huo leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (wapili kulia) akizungumza mara baada ya kuwasilishwa kwa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leo Jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, wapili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Bibi.Susan Mlawi pamoja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari, Bw. Rodney Thadeus.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Susan Mlawi akitoa maelezo mafupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa mawaziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Maliasili na Utalii, Mifugo na Uvuvi pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano leo Jijini Dodoma.

Bw.Gabriel Nderumaki akiwasilisha taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa mawaziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Maliasili na Utalii, Mifugo na Uvuvi pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na wadau wengine leo Jijini Dodoma.

About Alex

Check Also

Picture 1

WASHINDI 15 WAPATIKANA PROMOSHENI YA TIA KITU PATA VITUZ NA DStv!

Mkuu wa Kitengo cha Thamani kwa wateja MultiChoice Tanzania Hilda Nakajumo akizungumza na waandishi wakati …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fifteen + 18 =