Monday , December 10 2018

Home / MCHANGANYIKO / MKUU WA JESHI LA MAGEREZA AKUTANA NA RC NJOMBE KABLA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE

MKUU WA JESHI LA MAGEREZA AKUTANA NA RC NJOMBE KABLA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE

????????????????????????????????????

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) Phaustine Kasike alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa kabla ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi, leo Novemba 15, 2018.

????????????????????????????????????

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akitoa taarifa fupi ya Mkoa wake alipotembelewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza Ofsini kwake.

????????????????????????????????????

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini (CGP) Phaustine Kasike akielezea malengo ya ziara yake ya kikazi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe alipotembelea Ofisi za Mkoa huo.

????????????????????????????????????

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akikagua mashamba ya chai ya Gereza Njombe kabla ya kuhitimisha ziara yake, leo Novemba 15, 2018.

????????????????????????????????????

Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Phaustine Kasike akiagana na askari wa Magereza Mkoani Njombe mara baada ya kuhitimisha ziara yake leo Novemba 15, 2018

????????????????????????????????????
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(wa pili toka kulia) pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Njombe. Wa pili toka kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Bw. Erick Shitindi ( Picha na Jeshi la Magereza).

About bukuku

Check Also

UZ3b

Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Mhe. Rais Magufuli Katika Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 + fifteen =