Tuesday , December 11 2018

Home / MCHANGANYIKO / MAKATIBU WAKUU OFISI YA WAZIRI MKUU WAKUTANA NA WATAALAMU WA TAASISI MBALIMBALI KUJADILI MPANGO WA UJENZI WA MJI WA SERIKALI WA IHUMWA

MAKATIBU WAKUU OFISI YA WAZIRI MKUU WAKUTANA NA WATAALAMU WA TAASISI MBALIMBALI KUJADILI MPANGO WA UJENZI WA MJI WA SERIKALI WA IHUMWA

N1-min

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akizungumza jambo wakati wa kikao cha kujadili Mpango wa Ujenzi wa Mji wa Serikali wa Ihumwa Dodoma walipokutana na wataalamu kutoka Taasisi mbalimbali tarehe 16 Novemba, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma.

N2-min

Mbunifu Majengo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania Bw.Eward Kayombo akitoa ufafanuzi kuhusu mpango wa ujenzi wa majengo ya Ofisi za Serikali katika eneo la Ihumwa Dodoma wakati wa kikao cha kujadili hatua za ujenzi huo pamoja na Makatibu Wakuu Ofisi ya Waziri Mkuu (hawapo pichani)

N3-min

Makatibu Wakuu Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kutoka kwa Mbunifu Majengo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania Bw.Eward Kayombo (hayupo pichani) wa kwanza kushoto ni Bi. Maimuna Tarishi (Bunge na Waziri Mkuu) kulia kwake ni Prof.Faustin Kamuzora anayeshughulikia Sera na Uratibu.

N4-min

Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia uwasilishaji wa ramani ya Ujenzi wa Ofisi za Serikali katika Mji wa Serikali Ihumwa kutoka kwa Mbunifu Majengo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania Bw.Eward Kayombo    

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

About Alex

Check Also

PICHA A-min

RC MTAKA ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, KUWAGAWIA VITAMBULISHO WAJASIRIAMALI WADOGO

  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 × four =