Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKA LA CHIPOLE MISSION KUTOKA SONGEA

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKA LA CHIPOLE MISSION KUTOKA SONGEA

3-min

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Watawa kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea Novemba 16, 2018 Bungeni Dodoma.

2-min

Sister Yoela Luambano kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea akizungumza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama walipomtembelea bungeni Dodoma.

1-min

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa viongozi kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea walipokutana Bungeni Novemba16, 2018.

About Alex

Check Also

_MG_1453

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

seventeen + 18 =