Friday , March 22 2019

Home / 2018 / December

Monthly Archives: December 2018

WAFANYAKAZI UHURU MEDIA GROUP WAPEWA MOTISHA WOTE

GY3A0822

 MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Uhuru Media Group Faustine Sungura  akielezea mbele ya Waandishi wa habari leo Ofisini kwake jijini Dar,namna kampuni  hiyo inavyojipanga ,amesema kuanzia mwakani wataanza kufanya utafiti utakaochukua muda wa miezi mitatu na lengo ni kufahamu wasomaji wao,wasikilizaji wao na watazamaji wao wanataka nini.”Pia Februari mwaka 2019 tutafanya …

Read More »

SALAAM ZA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE KWA WATUMISHI WA JESHI HILO KATIKA KUFUNGA MWAKA 2018 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2019

3

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (kushoto) akiwasili tayari katika Baraza la kufunga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019 leo Desemba 31, 2018 Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akizungumza na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza katika Baraza la kufunga mwaka 2018 …

Read More »

NITAWAPUMZISHA WACHEZAJI WANGU KUNA MAKOMBE MUHIMU- ZAHERA MWINYI

WhatsApp Image 2018-12-31 at 3.35.07 PM

Kocha Mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Dismas Ten. ……………………..   Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii KUELEKEA katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameweka …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB RUANGWA

PMO_4139-min

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Tawi la Benki ya CRDB la Ruangwa, Desemba 31, 2018.   Kushoto ni mkewe Mary, wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB, Ally Hussein Laay na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Tawi la Benki …

Read More »

ASKARI ALIYEPATA CHEO ALINUSURIKA KUUAWA NA MAJAMBAZI

KOPLO MICHAEL AKIVISHWA CHEO HICHO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Jonathan Shanna akimvisha cheo Konstebo WP. 12415 Dominica Michael Nnko cheo kuwa Koplo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro baada ya kujwatunukia vyeo hivyo. ……………………………. NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA MMOJA wa askari watano waliotunukiwa vyeo na Mkuu wa Jeshi …

Read More »

MKURUGENZI WA TIBA ATOA TAARIFA KWENDA KWA WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI ZA AFYA KUHUSU UTEKELEZAJI WA SHERIA YA UMILIKI WA MAABARA BINAFSI ZA AFYA.

GW1

Mkurugenzi wa Tiba, Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akisisitiza jambo katika mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa sheria ya umiliki wa maabara binafsi za Afya. Kaimu Msajili wa Bodi ya Maabara Binafsi za Afya akijibu maswali ya Waandishi wa habari …

Read More »

MKAZI WA TARIME AJISHINDIA MILIONI 10 ZA TIGO JIGIFTISHE

Photo 1

Mkazi wa Tarime Mkoani Mara Ahia Stephen (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Sh 10m/- kutoka kwa Meneja wa Tigo kanda ya Ziwa Daniel Mainoya baada ya kuibuka mshindi wa wiki katika promosheni ya Tigo Jigiftishe katika hafla fupi ya kumkabidhi zawadi yake iliyofanyika Tarime mwishoni mwa wiki. Meneja wa …

Read More »

TFS YATOA UFAFANUZI WA UKAMATAJI WA MAZAO YA MISITU

Logo_TFS

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii na wadau mbalimbali zinazohusisha namna Afisa Misitu wa Wilaya ya Korogwe alivyokuwa akitekeleza majukumu ya kusimamia Sheria ya Misitu Na. 14 ya Mwaka 2002 pamoja na Kanuni zake za Mwaka 2004. Afisa huyo alikuwa akitekeleza majukumu hayo …

Read More »

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA DESEMBA 31 KINESI

IMG_9465

Bondia Mussa Msabaha kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Makubi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kufunga mwaka utakaofanyika Desemba 31 katika viwanja vya Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News Bondia AZizi Uliza akingia na Farasi kwa ajili ya kupima uzito kupambana …

Read More »