Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 01

Daily Archives: December 1, 2018

MAN CITY YAICHAPA 3-1 BOURNEMOUTH LIGI KUU ENGLAND

6884570-6449867-image-a-46_1543681374777

Raheem Sterling akipongezwa na mchezaji mwenzake, Fernandinho (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 57 ambalo linakuwa la nane kwake msimu huu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa …

Read More »

MHE.: MAHMOUD ASISITIZA UTOAJI WA HUDUMA BORA KWA WATALII

1

KATIBU Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdalla Mohamed Juma,kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizindua program ya kuwajengea uwezo wanawake juu ya masuala ya utalii Zanzibar iliyoandaliwa na NVCT huko hoteli ya Zanzibar Paradese Amani Mjini Zanzibar. BAADHI ya …

Read More »

RUVUMA KUIMARISHA MAPAMBANO YA UKIMWI-RC MNDEME

1

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera (Julia) akipokea taarifa ya mkoa kuhusu hali ya maambukizi ya UKIMWI toka kwa Mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Magdalena Zenda (kushoto).Tukio hili limefanyika Leo mjini Tunduru wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa Sehemu ya wananchi wa Tunduru waliojitokeza kwenye …

Read More »

BODI YA LIGI TANZANIA YAPATA MWENYEKITI MPYA

SURE1

Mwenyekiti wa Coastal Union ya Tanga Steven Mnguto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania(TPLB) katika Uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Disemba 1,2018 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera,Tanga. Nafasi zilizogombewa katika Uchaguzi huo mdogo ni Mwenyekiti,Mwakilishi wa Klabu za Daraja la Kwanza na Mwakilishi wa Klabu za Daraja …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA KUDHIBITI UKIMWI

PMO_9810

    Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Kilele  cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa, kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma, Desemba 1, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri …

Read More »

UNAIDS kuendelea kushirikiana na serikali kupambana na UKIMWI

MAVUNDE WASILI

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde (wa pili kushoto) akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi …

Read More »

TAKUKURU MANYARA YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA YALIYOTAKA KUIBIWA.

DSC03534

Na John Walter-Manyara Taasisi ya kuzuaia na Kupambana na Rushwa [TAKUKURU] mkoa wa Manyara kwa kipindi cha Julai hadi Novemba 2018, imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 270,973,774.48 zilizokuwa zimefanyiwa ujanja ujanja kutoka kwenye miradi mbambali inayotekelezwa mkoani hapa na kuzirejesha serikalini na zingine kuzielekeza kwenye miradi husika. Pia Taasisi …

Read More »

ZIJUE STESHENI ZA RELI YA KISASA-SGR

2

Jumla ya Stesheni za reli ya kisasa-SGR 14 zinajengwa katika awamu mbili za Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Makutupora ambapo Stesheni kubwa ni Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Usanifu wa Stesheni hizi umesadifu mazingira halisi ya kitanzania, Tamaduni, madini pamoja na maliasili …

Read More »

RAIS BUSH WA MAREKANI AFARIKI DUNIA

bush

RAIS wa 41 wa Marekani, George Herbert Walker Bush,  amefariki dunia jana, Ijumaa, Novemba 30, 2018, majira ya saa 4:10 usiku mjini Houston akiwa na umri wa miaka 94, msemaji wake Jim McGrath amethibitisha kifo chake na kusema chanzo chake kimetokana na tatizo la mapafu (pneumonia) lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu. …

Read More »

MANYARA YAZIDI KUNG’ARA KWA MAENDELEO-MNYETI

2

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Missaile Mussa akisoma taarifa ya maendeleo ya mkoa huo kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti akizungumza kwenye kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa huo (RCC) Mjini Babati.  Meneja wa Tanroads Mkoani Manyara …

Read More »

POLISI YAONYA WIZI MAFUTA UJENZI RELI YA KISASA

1 (1)-min

Na Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanza kwa Operesheni kali ya kuwabaini na kuwasaka watu wote wanaojihusisha na wizi wa mafuta katika mradi wa  ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)unaoendelea kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Polisi, Naibu Kamishna …

Read More »

AIBU NYINGINE KWA ZITTO ASHUKIWA NA KUAMBIWA AACHE UONGO

IMG_5433

Sehemu ya Mataluma ya Reli yaliyoppo katik autekelezaji w amradi wa ujenzi wa Reli sgr Katika eneo la Soga Mkoani Pwani Na. HABIB MCHANGENinamfahamu vema sana Zitto Kabwe,  nina hakika kabisa hoja yake aliyoitoa leo kuhusu ujenzi wa reli ni ama hajui anachokisema au anaendelea na utaratibu wake ule ule …

Read More »

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AJIPANGA KUFUTA ZERO USHETU

3-min

Walimu na wazazi wa shule ya msingi Songambele katika Jimbo la Ushetu Wilayani Kahama wakimsikiliza Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa (hayupo pichani), alipokwenda kukagua maendeleo ya shule hiyo. Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa akisisitiza …

Read More »