Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 02

Daily Archives: December 2, 2018

ARSENAL YAICHAPA SPURS 4-2,CHELSEA 2-0 DHIDI YA FULHAM

6909086-0-image-a-6_1543764208567

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika ya 10 kwa penalti na 56 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Mabao mengine ya …

Read More »

TAAA YAJADILI MIKAKATI YA KUTUMIA UJUZI NA UTAALAMU KWA MAENDELEO YA NCHI

N 2-min

Mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Australia (Tanzania Australia Alumni Association) Eng. Said Mkwawa akizungumza na baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano mkuu wa mwaka kujadili mikakati ya kutumia Elimu, Ujuzi, Utaalamu na Teknolojia waliopata kwa ajili ya maendeleo endelevu nchini. Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Australia Eng. …

Read More »

KAIMU MTENDAJI MKUU AITAKA TEMESA TANGA KUONGEZA UZALISHAJI

PIC 4-min

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akitoa maagizo wakati akikagua gari ya kubeba mitambo mbalimbali (low bed truck) katika karakana ya TEMESA mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake mkoani humo kukagua utendaji kazi na kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wafanyakazi wa …

Read More »

MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO

1

Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mhandisi Tumaini Magessa ambaye ametangazwa na Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti kuwa ndiyo anaongoza kwa uchapakazi. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, mhandisi Zephania Chaula akisalimiana na wananchi wa eneo lake, mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amesema anashika nafasi ya pili kwa …

Read More »

WADAU WA UVUVI MWALO WA IGOMBE WAKUBALI USHIRIKA

1

  Kiongozi wa Dawati la Sekta Binafsi timu ya Kanda ya Ziwa Bw. Anthony Dadu akitoa maelezo ya umuhimu wa kuunda ushirika kwa vikundi kwa wadu wa uvuvi katika mwalo wa Igombe Mkoani Mwanza. Baadhi ya wadau wa uvuvi katika mwalo wa Igombe, Mkoani Mwanza wakifuatilia maelezo yanayotolewa na Kiongozi …

Read More »

MAPATO NA MATUMIZI CHANZO CHA MIGOGORO MSIKITINI

3

Kaimu wa sheikh wa Mkoa wa Mwanza alhaji Hassan Musa Kabeke wa pili kutoka kulia akizungumza na viongozi mbalimbali wa kata wa dini ya kiislamu wakati wa majumuisho ya ziara yake jijini Mwanza. Kaimu Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza Sina Mohamed Mwagalazi akizungumza kwenye mkuatano wa kikao kazi na …

Read More »

DC KAWAWA AAGIZA MWEKA HAZINA PAMOJA NA WATUMISHI WATATU WA IDARA YA FEDHA HALMASHAURI YA CHALINZE KUKAMATWA ILI KUPISHA UCHUNGUZI

IMG_20181130_142533_3-min

NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO MKUU wa wilaya ya Bagamoyo ,Mkoani Pwani ,Zainabu Kawawa ameagiza  watumishi wa idara ya fedha wanaoshughulika na ukusanyaji mapato katika halmashauri ya Chalinze,  wakamatwe ili kupisha uchunguzi na watakapobainika kusababisha upotevu wa mapato hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Amefikia hatua hiyo, kufuatia hali ya ukusanyaji …

Read More »

Uongozi Wizara ya Viwanda Wawatoa Hofu Wakulima wa Korosho

1

Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Prof. Joseph Buchwaishaija (mwenye Kaunda suti), akisisitiza jambo kwa mwakilishi wa ghala la kuhifadhi korosho la OLAM Theophil Nandonde wakati alipofanya ziara ya kukagua maghala ya kuhifadhi korosho mikoa ya Mtwara na Lindi. Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Prof. …

Read More »

LUGOLA ATAKA MAGEREZA KUANZA KUJENGA VIWANDA VYA SAMANI VYA KISASA NCHINI, ASEMA VILIVYOPO HAVIWEZI KUTUPELEKA UCHUMI WA VIWANDA

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto), akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza, (CGP), Phaustine Kasike alipokua anamuonyesha moja ya mashine iliyoungua na moto mwezi uliopita katika Kiwanda cha Samani cha Magereza jijini Arusha, wakati Waziri huyo alipokitembelea kiwanda hicho leo, kuangalia moto ulivyokiteketeza kiwanda hicho. Lugola …

Read More »