Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 03

Daily Archives: December 3, 2018

ZIARA YA MBUNGE, NEEMA YAWASHUKIA WANA KOROGWE VIJIJINI

IMG_7723

MBUNGE wa Korogwe vijijini Mh. Timotheo Mnzava amewataka wananchi wa jimboni kwake kuwa na uthubutu wa kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuipa nguvu serikali ili wapate kipaumbele katika kukamilisha miradi yao. Ameyazungumza hayo akiwa katika ziara yake ya kata 29 ndani ya jimbo hilo ambapo ilianza tarehe 1 Disemba …

Read More »

YANGA YAICHAPA 3-1 PRISONS,YAJIKITA KILELENI KWA ALAMA 38

Yanga Taifa 0

Na Gwamaka Mwankota, MBEYA YANGA SC imetoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Ushindi huo unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 38 baada ya kucheza mechi 14, ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi …

Read More »

SERIKALI YAOMBWA KUWEKA JICHO LA PEKEE KUNUSURU ZAO LA NGOZI

B

Mgeni rasmi Profesa Dominic Kambarage, Msajili wa     Baraza la Veterinarian na viongozi wengine wakisikiliza kwa makini hoja za wanachama wa TAVEPA (Hawapo pichani). Prof. Dominic Kambarage akitoa maelezo juu ya umuhimu wa sekta ya mifugo nchini kwa wanachama wa TAVEPA (Hawapo pichani). Wanachama wa TAVEPA wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi   (Hayuko …

Read More »

BANC ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA WANANCHI

BANCABC

  Meneja wa Banc ABC tawi la Arusha, Magabe Nyambuche akizungumza jijini Arusha leo.   Na Mwandishi wetu, Arusha. Banc ABC nchini imeendelea na juhudi za kuwekeza kwenye maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo kwa wajasiriamali, kusaidia jamii kupata bima  za afya ili kuharakisha maendeleo ya jamii nchini Tanzania. Akizungumza …

Read More »

DKT. ASHATU KIJAJI AAGIZA MFANYAKAZI WA TRA DODOMA ASIMAMISHWE KAZI KWA KUKIUKA MAADILI YA KAZI

AC3A5850-min

Naibu  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji akipewa maelezo na Meneja Msaidizi upande wa Ukaguzi  wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Mustapha Mkiramweri alipofanya ziara ya kushitukiza katika mmoja wa mitaa Jijini Dodoma, kusikiliza kero za wafanyabiashara zinazoelekezwa kwenye Mamlaka ya Mapato TRA mkoa wa Dodoma. Naibu …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

hqdefault

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wana CCM na watanzania kuhusu matokeo ya uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata 47 Tanzania Bara uliyofanyika tarehe 02 Desemba 2018 na kwamba CCM imepita bila kupingwa katika Kata 41 na katika Kata 6 ambako kumefanyika uchaguzi CCM imeshinda kwa kishindo. Katika …

Read More »

SERIKALI KUANZISHA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE KISHERIA, WAZIRI KUPELEKA SHERIA BUNGENI BAADA YA MIEZI MIWILI IJAYO

3-min

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na wadau (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 22 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi lililofanyika katika Ukumbi wa LAPF, Dodoma mapema leo. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya  Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Mhandisi Prof.  Ninatubu Lema …

Read More »

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAWATAKA WAAJIRI NCHINI KUWAPATIA HUDUMA STAHIKI WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU ILI WAWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KIKAMILIFU

1

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akifungua kikao kazi  cha Watumishi wa Ofisi ya Rais, Utumishi cha kuadhimisha Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti …

Read More »

NBC WAJIBIKA PROGRAMME ON THE MOVE!

03

James Mwang’amba (right) NBC Wajibika Youth Employability Programme coordinator describes the advantages of Wajibika programme to students from St. Joseph’s University at the university’s premises  in Dar es Salaam recently. NBC Wajibika Youth Employability Programme is a program that is designed to prepare the youth for the world of work be …

Read More »

TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA

JPEG. NA. 4

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) na Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (wa pili kulia) wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Mawasiliano Mhandisi Dkt. Maria Sasabo (hayupo pichani) kuhusu eneo linalojengwa ofisi ya Wizara kwenye mji wa Serikali, Ihumwa, Dodoma Katibu …

Read More »

Muhimbili Tawi la Mloganzila Yaadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa Kutoa Huduma ya Upimaji wa Afya Bure

JPG 01 Ukimwi

Ukimwi: Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Tawi la Mloganzila Dkt. Julieth Magandi akifungua maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambapo Muhimbili-tawi la Mloganzila imeadhimisha siku hiyo leo kwa kutoa huduma ya upimaji bure. Baadhi ya wananchi ambao wamejitokeza kwa ajili ya kupata huduma wakimsikiliza Kaimu Naibu …

Read More »

DKT.KEBWE ARUDIA AGIZO LA KUNUSURU MSITU WA HIFADHI WA NAMWAI

DSCN8759-min

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe amerudia agizo lake alilolitoa Novemba Mosi mwaka huu  la kuwataka wananchi wanaofanya shughuli za kibinadamu katika Msitu wa Hifadhi wa Namwai Wilayani Kilombero kuacha kufanya shughuli hizo na wale wanaofanya makazi katika msitu huo kuondoka mara moja. Dkt. Kebwe ametoa agizo …

Read More »

MYENZI AFAGILIA KITUO CHA AFYA MIRERANI

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Yefred Myenzi akizungumza na watumishi wa kituo cha afya Mirerani.  Watumishi wa kituo cha afya Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Yefred Myenzi akizungumza wakati akiwashukuru na kuwapongeza kwa kituo hicho kuwa kwenye …

Read More »

Dkt. Mwakyembe-Lugha ni Kielelezo cha Taifa

Pic 2

   Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Kushoto)  akivishwa skafu na kijana wa Skauti wa Shule ya Sekondari Dodoma Vicky Jactan (Kulia) , alipowasili shuleni hapo jana Jijini Dodoma katika hafla ya kuwatunuku vyeti vya utambuzi wataalamu 67 wa lugha ya Kiswahili waliofuzu mafunzo ya muda mfupi …

Read More »

VYUO VYA WANANCHI MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU

images

Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES SALAAM MAENDELEO ya binadamu ni dhana inayojulikana sana nchini kuwa ni pamoja na uhuru kwawatu unasisitiza umuhimu wa kuwawezesha watu katika maeneo ya afya, umri wa kuishi, elimu na kipato. Katika muongo ulipita, Tanzania imeshuhudia ukuaji mzuri wa Pato la Taifa wa kiwango cha …

Read More »