Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 04

Daily Archives: December 4, 2018

OLE NASHA: AWATAKA WALIMU KUBADILI MBINU ZA UFUNDISHAJI

3-min

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akikagua samani katika Majengo ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima yaliyojengwa Wamo Mkoani Morogoro Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akizungumza na wanafunzi wanaosoma katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima iliyoko Wamo mjini Morogoro. …

Read More »

KAMATI YA UONGOZI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA

2

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Bw.John Magale Shibuda afafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa kimefanyika leo Disemba 4, 2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni maandalizi …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA

PMO_0338-min

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Watendaji, kwenye Ofisi za Kituo hicho jijini Dar es salaam, Desemba 4, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwenye …

Read More »

ITC YA OBREY CHIRWA YATUA, TAYARI KUITUMIA AZAM FC

WhatsApp Image 2018-11-08 at 06.33.12

  Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii UONGOZI wa Klabu ya Azam umeweka wazi kuwa usajili wa mshambuliaji mpya Obrey Chirwa umekamilika  kwa asilimia 100 baada ya Chama cha Soka nchini Misri (EFA) kuiachia Hati yake ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa kuituma kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Ofisa …

Read More »

MBWATE WACHOSHWA NA KERO YA UKOSEFU WA MAJI NA UMEME

IMG-20181204-WA0008

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA  WAKAZI wa mtaa wa Mbwate,kata ya Mkuza Kibaha Mjini mkoani Pwani, wanatatizo kubwa la ukosefu wa maji safi na salama ,hali inayosababisha kutumia maji ya kisima licha ya kuishi mjini.  Aidha wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa nishati ya umeme ambapo tangu wawekewe nguzo ni takriban …

Read More »

WANANCHI WA LINDI, PWANI KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA

JPEG. NA. 1

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifafanua jambo kwa wananchi wa kijiji cha Chihuta, Mtama mkoani Lindi kuhusu upatikanaji wa huduma za mawasiliano wakati wa ziara yake mkoani humo. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga.  Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta …

Read More »

HALOTEL,BIKO KUNOGESHA MICHEZO MSIMU WA SIKUKUU

00001

Mkuu wa mawasiliano wa Halotel, Mhina Semwenda  akizungumza na waandishi wa Habari jinsi mteja wa Halopesa anavyoweza kujiunga na kushiriki katika michezo ya kubashiri inayoendeshwa na kampuni ya Biko.  Meneja Masoko wa Biko Goodhope Heaven,(katikati) akizunguzumza na  waandishi kuhusiana na huduma zao.   …………………..  Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya …

Read More »

LUKA MODRIC AWAANGUSHA TENA MESSI NA RONALDO BALLON D’OR

6961976-6456033-image-a-33_1543872058096

Kiungo wa Real Madrid na Croatia, Luka Modric akiwa ameshika tuzo yake ya Ballon d’Or baada ya kukabidhiwa jana kwenye ukumbi wa Grand Palais mjini Paris, Ufaransa kufuatia kuzima utawaka wa miaka 10 wa Lionel Messi aliyeshika nafasi ya tano na Cristiano Ronaldo aliyekuwa wa pili PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

TAMKO LA WAZIRI WA ELIMU ZANZIBAR BAADA YA MITIHANI KUVUJA

1

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma akizungumza na Kamati ya Baraza la Mitihani Zanzibar kuhusu hatua zitazochukuliwa baada ya kufutwa Mtihani  wa Kidatu cha pili mwaka 2018 katika Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Mjini Unguja. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mmanga …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA ALIPOFIKA KUMTAMBULISHA MKUU YA UNICEF OFISI YA ZANZIBAR

IMG_1502-min

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Bi. Maha Damaj, Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendeleo ya Watoto (UNICEF) Ofisi ya Zanzibar, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »