Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 05

Daily Archives: December 5, 2018

MAHAKAMA YAANZA KUSIKILIZA KESI KWA MTANDAO

1-min

Kesi ikiendeshwa kwa njia ya Mtandao- ‘Video Conferencing’ kwa mara ya kwanza katika kituo cha Mafunzo cha Mahakama ya Tanzania kilichopo Kisutu jijini Dar es salaam. Kulia pichani ni Shahidi  namba tatu , Stela  Janot akitoa ushahidi wake akiwa nchini Ufaransa. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara Mhe.Lugano  Mwandambo  …

Read More »

WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KWENYE KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA MOYO INAYOENDELEA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

maxresdefault

Na Mwandishi wetu  – Dar es Salaam Wagonjwa 54 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo  wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua na bila kufungua kifua katika kambi maalum  ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Matibabu hayo yanafanywa na  madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi, wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo 05/12/2018, kwa lengo la kuendelea kujenga ushirikiano baina ya benki hiyo na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi …

Read More »

TANZANIA KINARA WA KUVUTIA WAWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI

4

Mkurugenzi  Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Godffrey Mwambe akisisitiza  jambo kwa Waandishi wa Habari (Hawapo pichani), wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari  kueleza mafanikio ya TIC ndani ya Miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano ulifanyika leo Disemba 5, 2018 katika ukumbi wa Idara ya …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM

1a

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya …

Read More »

SERIKALI IMETOA KIPAUMBELE MATUMIZI YA TEHAMA NCHINI-MAJALIWA

PMO_0668

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China Nchini, Mhe. Wang Ke wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Kutoa Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018.  Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Joyce Ndalichako   na kulia ni Naibu Waziri wa …

Read More »

Washindi wa Tigo Jigiftishe Moshi na Arusha

Picha 1

Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja  mmoja wa washindi wa Promosheni ya Jigftishe Yussuph Miraro kutoka mkoani Arusha.  Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

P1120787-310x165

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na kikosi kazi kabambe cha kanda ya ziwa chenye uwelediwa hali ya juu na chenye uaminifu uliotukuka tukishirikiana na Maofisa wa Tanapa –Serengeti. Tumefanikiwa kuwakamata jumla ya majambazi watano sugu wakiwa na noti bandia zenye thamani ya kiasi cha Milioni mbili laki …

Read More »

NAIBU WAZIRI TAMISEMI AFUNGUA KONGAMANO LA 10 LA WADAU WA ELIMU

DSC_0367

Naibu wa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mh. Josephat Kandege ambaye pia ni mgeni  rasmi akizungumza kwenye kongamano la 10 kwa wadau wa elimu kujadili ufundishaji wa umahiri na ujuzi lililoandaliwa na TenMeT. Kushoto ni Afisa Maendeleo ya Vijana Mkoa wa Dodoma, Tumsifu Mwasamale akimwakilisha mkuu …

Read More »

Mhandisi Iyombe atunukiwa Tuzo ya Utumishi Uliotukuka

1

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Musa Iyombe(Pili kulia) akipokea Tuzo ya Utumishi Uliotukuta toka kwa Mwakilishi Mkuu wa JICA Tanzania Toshio Nagase. Viongozi wa OR-TAMISEMI wakifuatilia hotuba ya Mwakilishi Mkuu wa Jica Tanzania Toshio Nagase kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Elimu …

Read More »