Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / December / 06

Daily Archives: December 6, 2018

AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI

IMG_8254

Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) leo amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi, Mihewe na Mbekenyera. Aidha Mheshimiwa Aweso amefanya ziara Wilayani Nachingwea kwa kukagua miradi ya Mtua na Chimbendenga.  Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akipewa maelezo juu mitambo ya kusafisha maji ya …

Read More »

INTRA-EAC TRADE STILL VERY LOW, SAYS EAC OFFICIAL

IMG_113028

  The Director of Trade at the EAC Secretariat Al-haj Rashid Kibowa addressing the symposium participants     The EAC Principal Internal Trade Officer Monica Mihigo (in red t/shirt) receiving and presenting information pack to the Chief Executive Officer Mr. Henry Mwenda at the EAC Stall.   The EAC Principal …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BW. APSON MWANG’ONDA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA .IKULU JIJIN DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alipomtembela Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Bw. …

Read More »

MISS TANZANIA AKIMBIZA SHINDANO LA MISS WORLD,MPIGIE KURA HAPA

eliza

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss World), mwakilishi wa Tanzania, Queen Elizabeth Makune, ameendelea kuwa nafasi za juu huku Watanzania wakihimizwa kumpigia kura kwa wingi ili ashinde.     Queen Elizabeth ambaye yupo Sanya China tayari kwa mashindano hayo yanayojumuisha warembo zaidi ya …

Read More »

FILAMU YA UWOYA,RED LGHT KUONYESHWA IJUMAA HII

images

Baada ya uzinduzi wa Msimu wa Siku kuu na promosheni kutoka kwa Kampuni ya Star Media (T) Ltd, ambapo walitangaza rasmi nia yao ya kuisadia Bongo Movie kwa kununua filamu kadhaa na kuzionyesha kupitia chaneli yao ya Kiswahili, sasa filamu hizo zinaanza kuruka katika chaneli hiyo ya Kiswahili. Ili kurejesha …

Read More »

MADIWANI 11 WALIOJIHUSISHA NA UVUVI HARAMU WASUBIRI HATMA YAO

PICHA 1

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akitoa msimamo wa wizara baada ya kuwasilishiwa taarifa ya ‘Operesheni Sangara II, Mwaka 2018’ kutoka kwa wakuu wa makamanda wa operesheni hiyo (hawapo pichani) Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akitoa maelekezo kwa makamanda wa ‘Operesheni Sangara …

Read More »

Muhimbili kuendelea kuboresha huduma kwa watu wenye walemavu

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Comminications Ltd, Maria Sarungi akizungumza kabla ya kufungua huduma ya matibabu bure kwa watu wenye ulemavu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambayo ufanyika Desemba 3, kila mwaka. Huduma hiyo inatolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na wataalam …

Read More »

19TH EAC JUA KALI-NGUVU KAZI KICKS OFF IN ELDORET

IMG_5346

Hon. Peter Munya, accompanied by the Governor of Uashin Gishu County, H.E. Jackson Mandago, the Pricipal Secretary Dr. Susan Koech, the Director General Ketthen Bagamuhunda tour the exhibition stalls.Hon. Peter Munya, accompanied by the Governor of Uashin Gishu County, H.E. Jackson Mandago, the Pricipal Secretary Dr. Susan Koech, the Director …

Read More »

MAJALIWA AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA TAIFA CHA BASEBALL JIJINI DAR

PMO_0844 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili kwenye Shule ya Sekondari ya Azania jijini Dar es salaam, Desemba 6, 2018 Kufungua Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball na Kuzindua Mashindano  ya Taifa ya Baseball. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …

Read More »

MHE HASUNGA AAGIZA VYUO VIKUU KUTANGAZA MATOKEO YA TAFITI ZAO

1R6A3930

  Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza kwenye sherehe ya nne ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi tarehe 6 Disemba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo). Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Prof Faustine K. Bee akitoa …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIWANJA CHA TAIFA CHA MCHEZO WA BASEBALL

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball nchini. Amewaagiza viongozi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni na Ofisi ya Rais-TAMISEMI waone umuhimu wa kuuendeleza mchezo huo. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Desemba 6, 2018) alipofungua …

Read More »

DK.MABODI AFANYA ZIARA MANISPAA YA MJINI Z’BAR

DSC_0621-min

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi akipokea maelezo juu ya maendeo yaliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la soko la kuku darajani. -NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi  akielekea  katika ukaguzi wa ujenzi wa jengo la kisasa la machinjio ya kuku katika Soko la Darajani. …

Read More »