Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO

IMG_2006

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana  na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Tiger  Lee, kushoto kwa Rais ni Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,6-12-2018.na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania. (Picha na Ikulu)

IMG_2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania, Balozi Song. Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar leo 6-12-2018, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania.(Picha na Ikulu)

IMG_2038

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuaga na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar,leo 6-12-2018.(Picha na Ikulu)

IMG_2112

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar,6-12-2018.(Picha na Ikulu)

IMG_2113

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akibadilishana mawazo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania.Balozi Song.Geum –young, wakati wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.6-12-2018.(Picha na Ikulu)

About bukuku

Check Also

_MG_1453

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nine + 15 =