Saturday , March 23 2019

Home / MICHEZO / MAN UNITED YAITANDIKA 4-1 FULHAM EPL

MAN UNITED YAITANDIKA 4-1 FULHAM EPL

Wachezaji wa Manchester United, Juan Mata na Marcus Rashford wakimtania Romelu Lukaku baada ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Everton na Chelsea kumaliza ukame wa mabao Old Trafford kufuatia kufunga bao la tatu dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Mabao mengine ya Man United ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Ashley Young dakika ya 13, Juan Mata dakika ya 28 na Marcus Rashford dakika ya 82 wakati la wageni limefungwa na Aboubakar Kamara kwa penalti dakika ya 67 PICHA ZAIDI SOMA HAPA

About Alex

Check Also

NGEREJA 4D

MATUKIO KATIKA PICHA :UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS

Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 + 11 =