Saturday , March 23 2019

Home / MICHEZO / SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA 4-0 BOURNEMOUTH

SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA 4-0 BOURNEMOUTH

Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool hat-trick kwa mabao ya dakika za 25, 48 na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Steve Cook aliyejifunga dakika ya 68 PICHA ZAIDI S0MA HAPA  

About Alex

Check Also

NGEREJA 4D

MATUKIO KATIKA PICHA :UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS

Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven − 8 =