Tuesday , March 26 2019

Home / BIASHARA / ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

ASASI YA TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION(TAHA) YAWAKUTANISHA WAKULIMA NA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

1

Afisa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo(TADB),Grace Ngailo(kulia) akimpa maelezo mgeni rasmi, Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kushoto)wakati wa maonesho ya taasisi za fedha kuwakutanisha na wakulima jijini Arusha.

2

Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kulia) akisalimiana na maafisa wa Tanzania Horticultural Assocition(Taha) jijini Arusha.
 

3

Wananchi wakiwa kwenye moja ya mabanda ya taasisi mbalimbali za fedha kwaajili ya kupata taarifa za mikopo kwaajili ya kilimo jijini Arusha.

4

Wananchi wakiwa kwenye banda la taasisi ya serikali ya PASS inayojishughulisha na utoaji wa mikopo kwaajili ya kilimo nchini wakati wa maonesho ya yaliyoandaliwa na Taha jijini Arusha.

5

Meneja Kiongozi wa Benki ya NMB anayeshughulikia Kilimo,Oscar Rwechungura(kushoto) akizungumza na wakulima katika maonesho ya taasisi za fedha yaliyoandaliwa na asasi ya kilimo cha mbogamboga na matunda(Taha) ya jijini Arusha.

6

Mkuu wa Biashara wa benki ya Stanbic Bank,Fredrick Max(wa pili kushoto) akimpa maelezo  Rais wa taasisi ya Southern African Confederation Agricultural Unions(Sacau),Dk Sinare Yusuf Sinare(kulia)wakati wa maonesho ya taasisi za fedha wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taha,Jaqueline Mkindi.

7

Washiriki wa maonesho ya taasisi za fedha na wakulima iliyoandaliwa na asasi ya Taha inahamasisha kilimo cha mbogamboga na matunda nchini.

About bukuku

Check Also

image1

BOOMPLAY KUSHIRIKIANA KIBIASHARA NA WARNER MUSIC GROUP

DAR ES SALAAM, TANZANIA Boomplay ni app inayotoa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

8 − 4 =