Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 01

Daily Archives: January 1, 2019

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA

IMG_5377

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba akiongozana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akielekea katika majengo ya Madarasa kwa ajili ya Uzinduzi wake …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA NA CRDB WILAYANI RUANGWA

PMO_3921

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Hussein Laay  wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Shule ya  Sekondari ya Kassim Majaliwa iliyopo Kata ya Nachingwea katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa kuzindua madarasa mawili yaliyojengwa na Benki hiyo kwa gharama ya shilingi milioni 80, Desemba 31, …

Read More »

WAKAZI DISUNYARA WATUMIA SH. 4,000 KUFUATA VIPIMO IKIWEMO CHA MALARIA UMBALI WA KM. 10 KWENDA NA KURUDI

IMG_20181223_121200_4

Mbunge viti maalum mkoani Pwani, Subira Mgalu akizungumza wakati alipokwenda kutembelea zahanati ya Disunyara, huko Kibaha Vijijini. (picha na Mwamvua Mwinyi)  ………………………………………………………………………. NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA VIJIJINI  ZAHANATI ya Disunyara, kata ya Kilangalanga Kibaha Vijijini, inakabiliwa na ukosefu wa maabara hali inayosababisha kufuata vipimo ikiwemo cha malaria na damu kituo …

Read More »

Ujenzi wa Kituo cha Afya Hamai wamchefua Jafo

3

Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati)  akiwasili katika kituo cha Afya Hamai kukagua miundombinu ya afya inayoendelea kujengwa katika kituo hicho kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Simon Odunga na kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe. Mweshimiwa Rajabu. …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA BONAZA LA WANACHEZO LEO UWANJA WA GOMBANI

IMG_4788

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla. wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Pemba kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kesho kuhudhuria Mazoezi ya Viungo …

Read More »