Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 02

Daily Archives: January 2, 2019

WAMACHINGA WAGOMBANIA VITAMBULISHO ARUMERU

index

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro amezindua zoezi la utoaji wa vitambulisho Kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga ambao mauzo ghafi Hayazidi Shilingi milioni 4. Akizindua zoezi hilo la utoaji wa Vitambulisho ambalo limefanyika katika Halmashauri ya Arusha Dc eneo la Ngaramtoni na Halmashauri ya Meru …

Read More »

SHILATU AGAWA VITAMBULISHO KWA WAJASILIAMALI WADOGO

FB_IMG_1546433816605

  *Asema Rais Magufuli hapendi Wananchi wasumbuliwe Na Mwandishi wetu, Mihambwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hapendi kuona Wananchi Wanyonge wakinyanyasika katika awamu hii yake ya uongozi ndio maana ameamua kuwa sauti, macho na Mtetezi wao. Hayo yamesemwa na Gavana wa Mihambwe, Mhe. Emmanuel …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAIZRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM.JANUARI 02,2019

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA VIONGOZI RUVUMA

_

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2018. Kulia ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …………………………………………….. *Ni …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LEO

IMG_20170806_103030 (1)

Jeshi la Poliisi Mkoa wa Mwanza kwa kutumia kikosi chake kabambe chenye uweledi uliotukuka tumefanikiwa kuwakamata watu watatu kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bhangi kiasi cha kilogramu 110, huko mtaa wa Ngumo “A”, Wilayani Kwimba. Tukio hilo limetokea tarehe 01.01.2019 majira ya saa 21:00hrs, hii …

Read More »

Vituo vya Mafuta Vyakumbushwa Kuweka Mabango Yanayoonyesha Bei

0473af2bd5-660x400

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Vituo vya mafuta nchini vimekumbushwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana ili kuepusha usumbufu unaojitokeza kwa wateja na kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu manunuzi ya bidhaa za mafuta. Hayo yamesemwa hivi karibuni na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti …

Read More »

Jafo Akerwa na Uzembe wa Watumishi wa Kilosa

image1

Kifusi cha mchanga kilicholetwa muda mfupi kabla  ya Waziri Suleiman Jafo kuwasili Waziri Suleiman Jafo akitembelea eneo la ujenzi kituo cha afya mikumi Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe.  Adam Mgoyi pamoja na Mbunge wa Mikumi Mh. Joseph Haule wakinuahidi waziri Jafo usimamizi wa makini wa ujenzi wa Kituo cha …

Read More »

Tanzania ina ziada ya Tani 3,013,515 wa mazao ya chakula – Mhe Hasunga

DSC_1252

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano maarufu kama Kilimo IV Jijini Dodoma tarehe 2 Januari 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo) …………………………………………………………………………………….. Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Kwa mliganisho wa mahitaji na uzalishaji nchi ina …

Read More »

JAMII YAKUMBUSHWA MALEZI YA YATIMA

DSC08012

Sheikh Omar Mbalamwezi akizungumza na yatima wakiwemo waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla ya chakula kilichondaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa ajili ya yatima hao. Kushoto ni kaimu sheikhe wa zamani wa mkoa Hamis Almas.Kutoka kulia wa kwanza ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA …

Read More »

NAIBU WAZIRI MHE,KANYASU AWAFUNDA WATUMISHI WA TFS PAMOJA NA WANANCHNAIBU WAZIRI MHE,KANYASU AWAFUNDA WATUMISHI WA TFS PAMOJA NA WANANCHI

1b

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Geita mkoani Geita akipewa maelezo na Meneja wa Misitu wa wilaya wa Wakala wa Huduma ya Misitu Tanzania (TFS) Fedy Ndandika wakati alipotembelea eneo la Manga lililokuwa limevamiwa na wakulima ambayo ni …

Read More »

ARSENAL YAFUFUKA, YAICHAPA 4-1 FULHAM UWANJA WA EMIRATES

8020450-6544869-image-a-58_1546359752943

Washambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wakishangilia kwa staili baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates.  Lacazette alifunga dakika ya 55 na Aubameyang dakika ya 83, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka dakika ya 25 …

Read More »