Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 03

Daily Archives: January 3, 2019

WAZIRI MKUU AFUNGUA SOKO LA MAZAO SONGEA

PMO_4834-min

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua  Soko la Mazao   la OTC Lilambo  wilayani Songea Januari 3, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, Watatu kushoto ni Waziri wa kilimo, Japhet Hasunga, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

DAWASA YAKABIDHIWA JENGO, WATAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII

IMG_8671

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo akizungumza na wanahabari na wageni waalikwa wakati wa utilianaji wa saini wa usimamizi wa jengo la Maji lililokuwa likijengwa na Wizara ya maji na Umwagiliaji na sasa wamekabidhiwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kwa ajili ya kulimalizia …

Read More »

AJALI ZAPOTEZA MAISHA YA WATU 454 KWA MIAKA MITATU MWANZA

DSC07959

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Imeelezwa kuwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita watu 454 mkoani Mwanza walipoteza maisha na wengine 423 walijeruhiwa na kupata vilema kutokana na ajali za barabarani. Hivyo kutokana na ajali hizo ipo haja ya kuendelea kutoa elimu ya usalama barabarani kwa makundi yote ya watumiaji wa barabara …

Read More »

Jafo apongeza Ujenzi Ofisi za Halmashauri-KIBITI

image3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(katikati) akitoa maelekezo wakati akikagua ujenzi wa Ofisi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo aKiwa na viongozi wa Wilaya …

Read More »

UCSAF YALETA CHANGAMOTO CHANYA KWA KAMPUNI ZA SIMU ZA MKONONI

JPEG. NA. 2

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kulia) akisikiliza kwa makini taarifa kutoka kwa Afisa Mtendaji Kata ya Katwe, Wilaya ya Sengerema, Mwanza, Deus Ngodagula Masasi (aliyenyoosha kidole) kuhusu ukosefu wa mawasiliano kwenye kisiwa cha Maisome wakati wa ziara yake ya kukagua hali ya mawasiliano wilayani …

Read More »

WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR

????????????????????????????????????

Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar. Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Mshirika …

Read More »

Wanariadha wanne wa Tanzania, watambulika katika viwango vya kimataifa ‘IAAF Labels’

Gabriel Geay of Tanzania out-kicked Leonard Korir of the United States at the end to win the men's professional race on Monday. For more photos and a video, go to www.dailycamera.com. Cliff Grassmick / Staff Photographer/ May 29, 2017

WANARIADHA wanne wa Tanzania, wamefanikiwa kutambulika katika viwango vya kimataifa ‘IAAF Labels’ vinavyotambuliwa na Shirikisho la Riadha la Kimataifa (IAAF), kutokana na kufanya vema katika mashindano mbalimbali mwaka 2018. Wanariadha hao na Klabu wanazotoka kwenye mabano ni Agustino Sulle, Gabriel Geay, Failuna Matanga (Talent-Arusha), na Ezekiel Ngimba (JWTZ). Sulle ameingia …

Read More »

AZAM FC YABANWA MBAVU 1-1 NA JAMHURI KOMBE LA MAPINDUZI CUP

AA

Na Mwandishi Wetu, MABINGWA watetezi, Azam FC wamefungua pazia la michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2019 kwa kutoka sare bao 1-1 dhidi ya Jamhuri, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku wa Jumanne. Sare hiyo ya Azam FC iliyoko Kundi B la michuano hiyo, inaifanya kujikusanyia pointi moja, ikiwa …

Read More »