Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 04

Daily Archives: January 4, 2019

MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA APATA TUZO MAALUMU YA UTAMBUZI MWANAFUNZI BORA CHUO CHA HARBIN NCHINI CHINA

IMG-20190104-WA0137

Mtanzania  Victoria Mwanziva kulia akipokea tuzo mara baada ya shughuli maalumu ya kutambua wanafunzi bora katika chuo cha Harbin Institute of Technology nchini China Harbin Institute of Technology Harbin Institute of Technology palipofanyika shughuli hiyo iliyopambwa na vijana wa Jeshi la China Mtanzania Victoria Mwanziva akiwa na tuzo yake pembeni …

Read More »

BITEKO AKALIPIA AJALI MAENEO YA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Three

Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Annarose Nyamubi (aliyesimama) akieleza jambo mbele ya Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (Kushoto) alipofika ofisini kwake kuelezea uwepo wake katika wilaya hiyo. Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza jambo akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi (Hayupo pichani) juu …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI CHIPUKIZI KOMBE LA MAPINDUZI CUP

7bb5fae765f64695939f3faadb185925

KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Chipukizi kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar saa 02:15 Usiku. Kikosi kitakachoanza 1. Ally Salim 2. Nicolas Gyan 3. Asante Kwasi 4 . Yusuf Mlipili 5. Paul Bukaba 6. Mzamiru Yasin 7. Haruna Niyonzima 8. Said Ndemla 9. Adam Salamba 10. …

Read More »

ZAHERA AMVUA UNAHODHA YONDANI,AMPA AJIBU

ZAHERA

KOCHA wa Yanga, Raia wa Congo DR, Mwinyi Zahera amefanya maamuzi magumu baada ya kumvua unahodha beki kisiki wa timu hiyo, Kelvin Patrick Yondani na kumpa Ibrahim Ajibu leo Ijumaa, Januari 4, 2019. Zahera amefanya maamuzi hayo baada ya Yondani kuingia mitini kwenye mazoezi ya leo bila kutoa taarifa yoyote …

Read More »

JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA

image1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amefadhaishwa kwa kukosekana kwa afisa wa TRA katika Kituo cha Kibiashara cha Pamoja ambacho lengo lake ni kurahisisha shughuli za kibiashara kwa wananchi wa Wilaya ya Kigoma kwa kupata huduma zote za uwezeshaji wa biashara katika eneo moja. Licha ya kuwepo …

Read More »

WANANCHI OLDONYOWASI WACHANGIA SEKTA YA ELIMU

index

Na Imma Msumba Arumeru Wananchi wa Kata ya Oldonyowasi Wilayani Arumeru wameitikia wito wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuchangia miradi ya maendeleo kwa kuchanga zaidi ya sh. milioni 22.8 ili kuondoa adha ya watoto wao kutembea umbali mrefu kusaka elimu.  Aidha Mkuu …

Read More »

TANGAZO LA KIFO

index

Ndugu isaac zumba wa ngarenaro, arusha. Anatangaza kifo cha mke wake amabilis zumba kilichotokea jana katika hospitali ya taifa ya muhimbili. Mwili unategemewa kuagwa kesho ijumaa saa sita mchana, muhimbili hospital-katoliki, na baada ya hapo kuelekea Arusha kwa ajili ya mazishi siku ya Jumanne tar 8 january. Salaam ziwafikie ndugu …

Read More »

RAIS AMEDHAMIRIA KUFUNGUA MILANGO LA MAENDELEO NCHINI

PMO_5394-min

*Ni ile iliyokuwa imejifunga kwa muda mrefu kwenye mikoa mbalimbali RAIS Dkt. John Magufuli amedhamiria kufungua milango na fursa za maendeleo iliyokuwa imejifunga kwa muda mrefu kwenye mikoa mbalimbali nchini ukiwemo mkoa wa Ruvuma. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa, Januari 4, 2019) na Waziri MKuuKassim Majaliwa apozungumza na wananchi kwenye mkutano wa …

Read More »

LIGI YA UFUKWENI KUANZA FEBRUARI

images

LIGI KUU ya soka la ufukweni Tanzania Bara (BSL) inatarajia kuanza Februari 9,2019 mpaka April 14,2019. Ligi hiyo itakua inachezwa kwenye Uwanja wa COCO BEACH uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni.  Kuelekea kwenye Ligi hiyo,TFF imeanza kusajili vilabu vyenye …

Read More »

ZAHERA,MAKAMBO WABEBA TUZO ZA MWEZI DISEMBA

MAKAMBO-ZAHERA1

      Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii  MSHAMBULIAJI wa kimataifa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wa timu ya Yanga Heritier Makambo amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019 ikiwa ni mara ya pili mfululizo.   Makambo …

Read More »

DC JOKATE KUMPA SHAVU BONDIA DULLA MBABE

mGALUU

NA MWAMVUA MWINYI, KISARAWE  SERIKALI ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani inatarajia kutoa eneo kwa ajili ya kujenga ukumbi utakaotumika kuwapatia mazoezi ya ngumi vijana  wa wilaya hiyo. Aidha imempongeza bondia Dulla Mbabe mzawa wa wilaya ya Kisarawe kwa ushindi alioupata dhidi ya mpinzani wake Fransis Cheka lillilofanyika hivi karibuni.  …

Read More »

MULTICHOICE YAKABIDHI NYUMBA ZA WALIMU ZANZIBAR

49898090_574318666347353_9141606511057829888_n

Kampuni ya MultiChoice Tanzania, imekabidhi jingo la nyumba mbili za walimu katika shule ya Kizimkazi Kusini Unguja Zanzibar katika hafla iliyofanyika shuleni hapo hivi karibuni na kuongozwa na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo na Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Jacqueline Woiso. Jengo la nyumba …

Read More »

JAFO ASISITIZA VIONGOZI KUTEMBELEA MRADI

image1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemank Jafo amesisitiza Viongozi na watendaji kutembelea miradi ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo hayo ili miradi hiyo iweze kutekelezwa vizuri Kama inavyotakiwa. Waziri Jafo aliyasema hayo Leo hii alipokuwa katika ukaguzi wa miradi ya DMDP wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam.  …

Read More »

DKT.TIBOROHA AKUBALIKA YANGA

ca4915196ccbd5821f45ef284cadb122

Na Renatha Msungu WANACHAMA wa klabu ya soka ya Yanga wamewataka.wanachama kuchagua viongozi wenyeji weredi kama Dk Jonas Tiboroha ambaye ameiongiza klabu hiyo kwa mafanikio.makubwa. Wakizungumza.kwa nyakati tofauti klabu hapo huku wakimwagia sifa mwanachama Said Abdalah alisema Tiboroha akiwa na Kocha Boniface Mkwasa wakifanya mambo makubwa ikiwemo kutofungwa na watani …

Read More »