Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 05

Daily Archives: January 5, 2019

CHELSEA YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-0 KOMBE LA FA

8161958-6560415-image-a-18_1546704836228

Mshambuliaji Alvaro Morata akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote dakika za 49 na 59 mara zote akimalizia pasi za Callum Hudson-Odoi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya  Nottingham Forest kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London PICHA …

Read More »

MAN UNITED YASHINDA MECHI YA TANO MFULULIZO

8158684-6560187-image-m-59_1546695153265

Romelu Lukaku akishangilia na Alexis Sanchez baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Reading leo kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la United limefungwa na Juan …

Read More »

UVCCM YAANZA RASMI MATEMBEZI YA MIAKA 55 YA MAPINDUZI PEMBA

IMG_1236

VIONGOZI wa CCM na UVCCM wakiwa katika matembezi hayo mara baada ya kufunguliwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi huko Wilaya ya Mkoani Pemba. KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl.Raymond Mwangwala akizungumza katika ufunguzi wa matembezi ya UVCCM ya kuazimisha miaka …

Read More »

WAZIRI MKUU ANUSA UFISADI UKARABATI WA JENGO SONGEA

PMO_5465-min

*Ni la wajawazito wanaosubiri kujifungua, limegharimu sh. milioni 129    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amenusa harufu ya ufisadi katika mradi wa ukarabati wa jengo la mama na mtoto  katika Hospitali ya Rufaa  ya Mkoa wa Ruvuma (HOMSO) na amesema kwamba hajaridhishwa na kiasi ya sh. milioni 129 zilizotumika. Hivyo, amemuagiza Naibu …

Read More »

LUGOLA AMPA WIKI MBILI BOSI WA UHAMIAJI NCHINI AENDE MIKOA YA KAGERA NA KIGOMA KUFANYA OPERESHENI KUBWA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU KABLA YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA HAUJANZA

PIX 1

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa mjini Karagwe Mkoani Kagera, katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Changarawe mjini humo, leo. Lugola katika hotuba yake kwa wananchi hao, amempa wiki mbili Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, awe amefika Mikoa ya Kagera na Kigoma kwa …

Read More »

WAJASILIAMALI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI

FB_IMG_1546685742486

*~ Ni kwa kuwaletea Vitambulisho vya Wajasiliamali wadogo* *~Gavana Shilatu awaonya Wafanyabiashara wakubwa* Na Mwandishi wetu, Mihambwe Wajasiliamali wadogo wa Kata ya Kitama wamemshukuru Rais Magufuli kwa Kuja na majawabu ya changamoto zao hususani suala la kutozwa Kodi kubwa isiyoendana na mitaji wala mauzo yao. Wajasiliamali hao wameyasema hayo mbele …

Read More »

SIRRO AWAPONGEZA WASTAAFU KUMALIZA BILA KASHFA

2

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Inspekta Jenerali wa Polisi ,IGP  Simon Sirro wakiingia ukumbini wakati wa Sherehe za Kuwapongeza na kuwaaga Wastaafu wa Vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi na kuukaribisha Mwaka Mpya 2019, Sherehe hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR

DSC_0876

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. -Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa …

Read More »

DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA

4

Na.WAMJW – SONGEA Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma za Afya bora kwa Wananchi. Katika ziara hiyo Dkt. Ndugulile ameuagiza uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha …

Read More »

MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU

IMG-20190102-WA0122

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Simbalimile Mofuga akiongoza kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya na wasimamizi wa zoezi la ugawaji vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo.  Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Simbalimile Mofuga akizungumza na wafanyabiashara wadogo watakaopatiwa vitambulisho vinavyotolewa na Rais John …

Read More »

MARUFUKU KUSAFIRISHA KAHAWA YA MAGANDA-MAJALIWA

PMO_5474-min

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa zao la kahawa kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga, Januari 4, 2019. Baadhi ya wadau wa zao la kahawa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga, Janujari 4, 2019 Waziri Mkuu, …

Read More »