Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 06

Daily Archives: January 6, 2019

GAVANA SHILATU ATAKA UMOJA UJENZI MRADI WA MAENDELEO

1

Na Mwandishi wetu, Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ametaka umoja, ushirikiano na upendo wakati wa usimamizi wa miradi ya maendeleo ili kuleta tija, ubora na ufanisi wa mradi. Gavana Shilatu ameyasema hayo Leo Jumapili Januari 6, 2019 wakati alipotembelea mradi ujenzi wa soko katika Kijiji Cha Shangani kilichopo …

Read More »

MAJALIWA AMJULIA HALI DKT SALIM

PMO_6198

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary   wakisindikizwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam Januari 6, 2018. Watatu kushoto ni Mama Amen Salim. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim …

Read More »

TFF YAMRUDISHA YONO KEVELA KUGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI YANGA

index

Kamati ya rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana na kujadili rufaa mbili zilizowasilishwa katika Kamati hiyo na Wagombea wa Uchaguzi wa Klabu ya Young Africans. Rufaa zilizo jadiliwa ni ya Eng Leonard Marango ambaye hakuridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Uchaguzi na rufaa ya …

Read More »

Jux Na Mbosso Wasikilizwa Zaidi 2018

1

  Application ya Boomplay inafahamika kuwa chanzo kikubwa cha ukuaji wa muziki katika bara la Afrika na mnamo mwaka 2017 boomplay app iliweza kujinyakulia tuzo ya application bora ya muziki barani Afrika kupitia kipengele cha “App Afrika award” ikiwa imewafikia watu million 38 ulimwenguni kote na million 3 kwa Tanzania …

Read More »

LUGOLA AWATAKA NIDA WAPITIE UPYA USAJILI, UTOAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA MIKOA YA KAGERA NA KIGOMA KWA LENGO LA KUWABAINI NA KUWAONDOA RAIA WA NCHI JIRANI

PIX 2

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa mjini Kyerwa Mkoani Kagera, katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa sokoni mjini humo, leo. Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa apitie upya usajili na utoaji wa vitambulisho vya taifa katika mikoa ya Kagera na …

Read More »

Muswada mpya wa sheria ya vyama vya siasa ni mwarobaini wa matumizi mabaya ya ruzuku, Tiba ya Demokrasia katika vyama vya siasa

kk2

Bw. Habibu Mchange Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Kiraia inayojihusisha na masuala ya kijamii na utetezi wa haki za binadamu (ADOR) akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magomeni jijini dar es salaam leo. …………………………………………………………………….. Bw. Habibu Mchange Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Kiraia inayojihusisha na masuala ya …

Read More »

UVCCM YASEMA WANASIASA UCHWARA HAWAJIAMINI

IMG_1452-min

NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Mussa Haji Mussa akisoma taarifa ya Matembezi ya kuenzi miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Pemba. BAADHI ya Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Zanzibar wakisikiliza nasaha mbali mbali zinazotolewa na viongozi katika hafla ya Matembezi hayo.   ……………………….. NA …

Read More »

VIONGOZI NA WANANCHI WILAYANI NEWALA WAJUMUIKA NA MHE. MKUCHIKA KUOMBOLEZA KIFO CHA MAMA TECLA MKUCHIKA NA KUKUMBUKA MCHANGO ALIOUTOA KATIKA UJENZI WA TAIFA

007

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akipewa pole ya kufiwa na mama mzazi na  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipoenda kumfariji …

Read More »

DKT BASHIRU ASHAURI WAKUU WA MIKOA KUJIFUNZA SIMIYU

PICHA A

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali  mkoani Simiyu, katika kikao kilichofanyika Mjini Bariadi Januari 05,2019 wakati wa ziara yake mkoani hapa. Kutoka kushoto Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mhe. Kheri James na  …

Read More »