Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 07

Daily Archives: January 7, 2019

Biteko Awaeleza Watanzania Kuwa Serikali Ina Macho

ONE

Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko (wa pili) akifuatiwa na Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila wakitoka katika jengo la ofisi za mwekezaji wa hifadhi za wanyamapori ya Makao, Mwiba Limited kuelekea eneo linalosadikiwa kuendesha shughuli za Uchimbaji hifadhini humo. Baadhi ya wanyama wanaoonekana katika hifadhi ya wanyama ya …

Read More »

DAR ES SALAAM YAMALIZA UGAWAJI VITAMBULISHO AWAMU YA KWANZA

index

Mkoa wa Dar es Salaam umekuwa kinara wa kutimiza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dr. John Pombe Magufuli la kutoa vitambulisho bure kwa wafanyabiashara wadogo wadogo(maarufu wamachinga) kwa nia ya kurasimisha sekta hii Muhimu katika ujenzi wa Taifa. Zoezi hili la ugawaji wa vitambulisho 25,000 kwa …

Read More »

RC SHIGELLA AWAHAMASISHA WAJASIRIAMALI WILAYANI MUHEZA KUCHANGAMKIA FURSA YA VITAMBULISHO VILIVYOTOLEWA RAIS DKT JOHN MAGUFULI

AAA

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wajasiriamali kwenye soko la Muheza mjini wilayani humo ambako alikwenda kuwahimiza umuhimu wa kuwa na vitambulisho vya ujasiriamali ili waweze kutambulika rasmi na kufanya shughuli zao MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wajasiriamali kwenye soko la Muheza mjini …

Read More »

SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA VIONGOZI WA DINI WALIOJIPENYEZA KUANZISHA MAKANISA NA MISIKITI KWA LENGO LA KUFANYA UCHOCHEZI, KUVURUGA AMANI NCHINI-LUGOLA

PIX 1

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa Mji wa Ngara, Mkoani Kagera (hawapo pichani), katika Mkutano wa hadhara uliofanyika mjini humo, leo. Katika mkutano huo, Lugola amesema baadhi ya viongozi wa dini nchini wamejipenyeza na kuanzisha makanisa na misikiti kwa lengo la kuanzisha …

Read More »

JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI

image2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amewapongeza Viongozi, watendaji,  na wananchi wa wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo.  Waziri Jafo amefurahishwa Sana na ujenzi wa vituo vya afya vya Kagezi Mabamba kwani ujenzi wake umekuwa mzuri Sana unaoendana na thamani ya …

Read More »

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akutana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali, Itai Veruv wa Israel , Makao Makuu ya Jeshi la Polisi

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea zawadi kutoka kwa Brigedia Jeneral iItai Veruvwa Israel baada ya kukutana na kufanya mazungumzo, Makao makuu ya Jeshi la Polisi ambapo kwa pamoja wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala ya usalama. Brigedia Jeneral iItai Veruv(katikati) akizungumza na Balozi wa Israel nchini …

Read More »

CCM IRINGA WAPATA MWENYEKITI MPYA

msimamizi wa uchaguzi wa mwenyekit wa ccm mkoa wa Iringa Mizengo Pinda akizungumza kabla ya zoezi la kupiga kura

NA DENIS MLOWE, IRINGA CHAMA cha Mapinduzi mkoa wa Iringa, kimemchagua mwadhili wa chuo kikuu cha Ruaha mkoani hapa, Dk. Abel Nyamahanga kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho kuchukua nafasi ya mwenyekiti aliyejiuzulu ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila.   Wajumbe 597 kati ya 631 …

Read More »

KAPUNI, KITIMTIM, REBECA KUKIWASHA NDANI YA DStv JANUARI HII!!

index

      Msimu wa pili wa tamthilia ya Kapuni warejea kwa kishindo Januari 4 Kitimtim kuendelea kutingisha Ndani ya Maisha Magic Bongo kila Jumapili na Jumatatusaa 3:30 usiku Rebeca nayo kuendelea kukiwashan dani ya DStv ifikapo Januari 14 mwaka huu      Ile tamthilia kabambe ya Kapuni iliyokuwa ikionyeshwa …

Read More »

SPIKA NDUGAI AMUITA KAMATI YA MAADILI CAG PROF.ASSAD

AA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Mb), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Jijini Dodoma kuhusu kauli za kudhalilisha Bunge zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),  Profesa Mussa Assad na Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee.Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog,Dodoma …………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma Spika wa …

Read More »

TUCTA YAWATAKA WANASIASA KUTOWATUMIA KUJIPATIA UMAARUFU

PMO_6296

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019. Watumishi wa Ofisi ya Bunge, wakipita mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, katika maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini …

Read More »

SIMANJIRO WAZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO

IMG-20190107-WA0077

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Yefred Myenzi akizungumzia umuhimu wa ulipaji kodi kwa wafanyabiashara.  Katibu Tawala wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Zuwena Omary akielezea namna ya upatikanaji wa vitambulisho hivyo Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Tumaini Magessa akielezea sifa za …

Read More »

VIWANJA 14 KUUZWA KWA MNADA KARIBU NA MJI WA KISERIKALI

AAAA

Mkuu wa Idara ya Ardhi,Mipango Miji na Maliasili katika Jiji la Dodoma Joseph Mafuru,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kuuzwa kwa viwanja 14 maalumu kwa njia ya mnada. Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog ……………………….. NA.Alex Sonna,Dodoma HALIMASHAURI ya  Jiji la Dodoma linakusudia kuuza viwanja  maalum 14 …

Read More »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI KATIKA SEKTA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII NCHINI

index

Na WAMJW – RUVUMA Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza watendaji wa Halmshauri zote nchini kutotumia wakandarasi katika kujenga miradi inayohusu Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii nchini, bali kutumia mtindo wa ‘Forced Account’ (kuwahusisha mafundi wa kawaida katika kujenga …

Read More »

MKAZI WA ZANZIBAR AONDOKA NA MILIONI 15 ZA TIGO JIGIFTISHE

01-min

Mshindi wa Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Abdulrazak Abdallah  (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Sh 15m/- kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani Deogratias David (wa pili kulia) huku akishangiliwa na baadhi ya wafanyakazi wa Tigo na mtangazaji wa Clouds FM Meena Ally (kushoto) katika …

Read More »

SERIKALI KUTUMIA SH.TRILIONI 1.3 KUPITIA MKOPO TOKA EXIM BENKI YA NCHINI INDIA KWA AJILI YA MIRADI YA MAJI MIJI 28 NCHI NZIMA-PROFFESA MKUMBO

_MG_5142

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo kulia akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani wakati wa ziara yake kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga-Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo kulia …

Read More »

UVCCM WAJENGA TAWI LA CCM KANGANI

IMG_1892

NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar ndugu Mussa Haji Mussa(kushoto), Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman(anayeonekana katikati), Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Tabia Maulid Mwita wakijenga Tawi la CCM Kangani Jimbo la Mtambile Pemba. ……………………………………………………………………………… NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) …

Read More »

MAN CITY YAICHAPA 7-0 ROTHERHAM KOMBE LA FA

8184696-0-image-a-40_1546786837802

Raheem Sterling (kushoto) akishangilia na Kevin De Bruyne (kulia) baada ya wawili hao kushirikiana kuipatia Manchester City bao la kwanza katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Rotherham Jumapili kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na Sterling dakika ya 12, …

Read More »