Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 08

Daily Archives: January 8, 2019

SERIKALI KUSAINI MIKATABA YA UBANGUAJI WA KOROSHO JANUARI 10

1R6A0334

Waziri wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza mpango wa serikali kusaini mikataba ya ubanguaji wa korosho wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Bodi ya Korosho (CBT) Mkoani Mtwara,  leo tarehe 8 Januari 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo) Waziri wa Kilimo, …

Read More »

TAZAMA HAPA VIINGILIO VYA MECHI YA SIMBA VS JS SAOURA

MANARA-ONE

Simba vs Js Saoura – Jumamosi 12/01/2019 BEI YA TIKETI MZUNGUKO  5,000 VIP B & C.    10,000 PLATINUM 100,000 Hii platinum wanapatia huduma zifuatazo: – Watakaa sehemu ya VIP A – Waacha gari zao Serenq hotel na kuchukuliwa na Min bus maalum kuja na kurudi Taifa kwa Escout ya …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUOTKA MKOANI IRINGA LEO

index

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Juma Bwire akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya Gobore iliyokamatwa katika msako. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi) …………………………………………………………………… Jeshi la polisi mkoa wa iringa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wanaohusika katika matukio ya uwindaji haramu maeneo ya hifadhi. …

Read More »

Mfumuko wa Bei kwa Mwaka 2018 Washuka, Wavunja Rekodi Miaka 40

NBS-KWESIGABO

……………………………………………………………………….. Na: Beatrice Lyimo-MAELEZO, Dodoma Wastani wa Mfumuko wa Bei wa Taifa kutoka Januari hadi Desemba Mwaka 2018 umepungua hadi asilimia 3.5 kutoka wastani wa asilimia 5.3 kama ilivyokuwa mwaka 2017. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu …

Read More »

WAFUGAJI WATAKIWA KUACHANA NA KUHAMAHAMA

IMG-20190108-WA0093

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Leskary Sipitieck akizungumza baada ya kumsimika Diwani wa Kata ya Naisinyai, Kilempu Ole Kinoka kuwa kiongozi wa kimila (Laigwanani) wa jamii ya Kishapuy.  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Sipitieck (kulia) wakishuhudia ngoma ya jamii ya …

Read More »

TAMADUNI ZENYE MADHARA ZALETA ATHARI KWA WANAWAKE MKOANI MARA

index

Na Anthony Ishengoma-Mara. Jamii mkoani Mara bado inaendeleza mila potofu ya kuamini kuwa mwanamke asiyekeketwa ni mkosi kwa familia jambo ambalo linaendeleza vitendo vya kwa ukatili wa hali ya juu dhidi ya wanawake Mkoani humo. Akiongea wakati wa ufanguzi wa Kikao kazi cha uzinduzi wa Kampeini ya kutokomeza ukatili dhidi …

Read More »

WAGONJWA 45 KUFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA MOYO INAYOFANYIKA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUANZIA TAREHE 7/01/2019 HADI 18/01/2019

160525142810_muhimbili_tanzania_bypass_heart_surgery_640x360_bbc

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupitia madaktari wake bingwa wa magonjwa ya moyo kwa kushirikiana na Madaktari Afrika na Shirika la Cardio Start wote kutoka nchini Marekani  wameanza  kambi maalum ya matibabu ya moyo  ya siku 12  kwa watu wazima . Matibabu yanayofanyika  katika kambi hiyo ni upasuaji wa …

Read More »

PTF YAPONGEZWA KWA KUTEKELEZA SERA YA UCHUMI WA VIWANDA

IMG-20190108-WA0010

   Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) wakati wa ziara ya kikazi alipowatembelea ofisini kwao jijini Dar es Salaam  kwa lengo la kufahamu majukumu ya mfuko na kuhimiza …

Read More »

JAFO ANENA ”UVINZA MMENIPA RAHA”

index

Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Selemani Jafo amefurahishwa sana na Utendaji kazi wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mhe. Mwanamvua Mrindoko pamoja na timu ya wataalam wa halmashauri hiyo ya Uvinza kwa kazi kubwa na nzuri wanayo ifanya ambayo imesaidia miradi ya halmashauri hiyo kutekelezwa kwa ubunifu mkubwa kwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI MABULA AWAONYA WATENDAJI WA SEKTA YA ARDHI BIHARAMULO

????????????????????????????????????

Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula akiwasili Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera alipofanya ziara ya kushtukiza katika halamashauri hiyo kufuatilia maelekezo aliyoyatoa kwenye halmashauri hizo Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula akimsikiliza Kaimu Mkuu …

Read More »

Shonza Akagua Usikivu wa TBC Radio Wilayani Tarime

Pix 04-min

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shoza akizungumza na kamati ya ulinzi na usalama wilayani Tarime mkoani Mara baada ya kuwasili wilayani hapo mapema jana ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kufuatilia usikivu wa Radio ya Taifa (TBC) katika mikoa ya mipakani mwa nchi. …

Read More »

“TUNATAKA TAIFA LA MABINTI WASOMI” DKT.NDUGULILE

Pix 3

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiwasili katika shule  ya Sekondari Mikalanga akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Cosmas Nshenye na Mbunge wa Viti Maalum kwa mkoa wa Ruvuma Mhe. Jacquiline Ngonyani kwenda kushirikiana na wananchi katika ujenzi wa …

Read More »

Zao la Korosho Lapata Soko Nchini Algeria

1H7A1915

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Algeria, Mhe. Saad Belabed. Katika mazungumzo hayo Mhe. Balozi alieleza kuwa Algeria ipo tayari kununua korosho ya Tanzania. Dkt. Ndumbaro amesema mazungumzo hayo ni moja ya jitihada …

Read More »

JAFO ALONGA ”KASULU MMEJIPANGA”

image3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (katikati) akipata maelezo toka kwa Meneja wa TARURA Wilaya ya Kasulu kuhusu ujenzi wa barabara ya lamo ya katikati ya mji wa Kasulu Barabara ya Kasulu inayojengwa kwa kiwango cha Lami Kituo cha Afya …

Read More »

YANGA YATUPWA NJE KOMBE LA MAPINDUZI CUP 2019

index

Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR YANGA SC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Malindi SC katika mchezo wa Kundi B usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwa matokeo hayo, Malindi SC inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi tatu ikishinda mbili na kutoa …

Read More »