Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 09

Daily Archives: January 9, 2019

Dkt.Zainab Chaula Aripoti Wizara ya Afya

AA

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkaribisha Katibu Mkuu Mpya wa Idara Kuu Afya Dkt.Zainab Chaula kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Naibu Waziri Dkt.Faustine Ndugulile akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR

DSC_2093-min

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Bw.Said Bakari Jecha katika Hafla ya …

Read More »

AJALI YA LORI YAGONGA TRENI DODOMA ”WAWILI WANUSURIKA KIFO”

D-min

Baadhi ya mashuhuda wakiangalia ajali ya Lori iliyoigonga Treni na kusababisha watu wawili kupata majeraha jijini Dodoma Na.Alex Sonna,Dodoma Watu wawili wamenusurika kifo baada ya lori aina ya scania walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Iringa kuigonga treni ya mizigo katika makutano ya reli na barabara eneo la hazina jijini Dodoma. …

Read More »

Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jeroen Verheul aipongeza Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya moyo kwa wananchi

balozi 3

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto Sulende Kubhoja akisalimiana na  Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul  wakati balozi huyo alipotembelea  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa. Katikati ni  Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi Robert …

Read More »

Masauni Ahimiza Magereza kutumia Fursa

PIX 1

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimkabidhi Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi Emmanuel Lwinga (kulia), moja ya mikono ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa ili kuweza kutumika kufyatulia matofali yatakayotumika kujenga nyumba za askari ikiwa ni juhudi za serikali kutatua changamoto …

Read More »

TFF KUFANYA DROO YA KOMBE LA AZAM FEDERATION CUP 2018-2019

index

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Alhamis Januari 10,2019 linafanya droo ya Kombe la Shirikisho(ASFC).  Droo hiyo itakayofanyika Makao Makuu ya Azam Tv,Tabata saa 5 asubuhi,itahusisha raundi ya 4 yenye timu 32 na raundi ya 5 itakayohusisha timu 16. Timu zilizobaki katika hatua hiyo ni  Young Africans SC, …

Read More »

Mh Rais Magufuli Afunguka Mambo Mazito Sakata la Dhahabu ya Mamilioni ya Pesa Iliyonaswa Jijini Mwanza

index

Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania-IGP Simon Sirro  kwa kuhakikisha watuhumiwa wote wa Dhahabu ya mamilioni ya pesa iliyokuwa inatoroshwa jijini Mwanza wamekamatwa wakiwemo Askari polisi 8.  Rais Magufuli ametoa pongezi hizo Leo Jumatano January 9, 2019  Ikulu Dar es Salaam wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana. …

Read More »

MAFANIKIO YA TAGOANE YAFUNGUA NJIA KWA WASANII WA INJILI

IMG_20190109_045834_486

div class=”separator” style=”clear: both; text-align: center;”>  Rais wa mtandao wa wasanii wa Injili na Maadili Dkt. Godwin Maimu akizungumza katika Tamasha hilo lililofanyika Buza Jijini Dar es salaam Buza Kipera  Picha ya Viongozi wa Mtandao wa wasanii wa Injili na maadili wa pili kutoka kulua ni Rais wa Tagoane Taifa Dkt. …

Read More »

MAMA WADOGO WILAYA YA KALIUA WAPEWA ELIMU YA STADI ZA KUJITAMBUA

????????????????????????????????????

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Abel Busalama, akifungua mafunzo kwa Mama wadogo (Young Mothers) ya kujitambua, malezi ya familia, Afya na lishe, Kilimo biashara, Ujasiriamali, kuunda vikundi vya uzalishaji mali na kuwaunganisha kwenye fursa za uwezeshaji wa vijana kiuchumi. (Kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya …

Read More »

Rais Dkt. Magufuli amtaka Waziri Dotto Biteko kuanzisha vituo vya madini mikoa inayofanya shughuli za uchimbaji

kj

Na Grace Semfuko-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  leo Januari 9,2019 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua Ikulu Jijini Dar Es Salaam na kuwataka kufanya kazi kwa  kuzingatia weledi. Viongozi walioapishwa ni pamoja na Waziri wa Madini Dotto Biteko, Makatibu Wakuu wa Wizara watatu, Manaibu Makatibu …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA TOKA TEMESA

gettyimages-140664965-1024x1024

Leo tarehe 09/01/2019 mnamo saa 1:30 asubuhi kivuko cha MV. MAGOGONI kinachotoa huduma kati ya Magogoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kilipigwa na upepo mkali wakati kikikaribia upande wa Kigamboni. Hivyo, katika hali ya kupambana na upepo mitambo ya kuendeshea kivuko hicho iliingiliwa na takataka ambazo zilisababisha injini kupata …

Read More »

WATUMISHI WA TAKUKURU NCHINI WATAKIWA KUTOTUMIKA VIBAYA KUKWAMISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UFISADI ILI KULINDA RASIRIMALI ZA NCHI

IMG_002

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi TAKUKURU (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi alipotembelea ofisini kwao jijini Dar es Salaam  kwa lengo la kuhimiza mapambano dhidi ya rushwa. Baadhi ya watumishi …

Read More »

TTB KUWEZESHWA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

1A

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu  akifanya mahojiano kwenye kipindi cha “Jambo Tanzania” kinachoruka TBC 1 akielezea mikakati ya wizara hiyo jinzi ilivyojipanga kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi kupitia Bodi ya Taifa ya Utalii leo  Mikocheni  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtangazaji wa TBC1, …

Read More »

TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BIL. 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

IMG-20190108-WA0037

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara mkoani Pwani wakisikiliza jambo Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo wakati wa kikao cha bodi ya barabara mkoani hapo akizungumza jambo. (Picha na Mwamvua Mwinyi)  ……………………… NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani …

Read More »