Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 10

Daily Archives: January 10, 2019

52% YA WATANZANIA WAMEPIMA VVU

1

  Na WAMJW-DOM SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima VVU kupitia Kampeni ya ‘Furaha Yangu’ ambao ni sawa na asilimia 52 ya lengo la kuwapima watanzania wapatao 4,638,639 hadi Desemba 2018.    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee …

Read More »

YANGA KUCHEZA NA BIASHARA UNITED 32 BORA KOMBE LA TFF

20181210082912838_47397

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC itamenyana na Biashara United katika hatua ya 32 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Januari 25 na 28, mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es …

Read More »

Bodi ya Filamu na wadau wake wafanya tathmini ya Tamasha la “KATAA MIHADARATI”

kib2

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana wakati wa mkutano wa Tathmini ya Tamasha la “KATAA MIHADARATI” lililofanyika katika viwanja vya Mburahati Barafu jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Binti Filamu Foundation Ndumbagwe Misayo a.k.a Thea ……………………………………………………………………………… Katibu …

Read More »

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

image

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras makunja wenye makao yao nchini Ujerumani,bendi hiyo iliyojizolea umarufu kila kona barani ulaya na kufanikiwa kuteka washabiki kwa kutumia muziki wao wa dansi wa bongo. Ngoma Africa band …

Read More »

Wanafunzi watoro na wazazi wao kusakwa na kukamatwa huku hostel ikibadilishwa matumizi

IMG_5629

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Leonard Wangabo. ………………………………………………………………………….. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Nkasi kuhakikisha anawatumia watendaji wa kata na vijiji pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kuhakikisha wanawasaka na kuwakamata wanafunzi watoro pamoja na wazazi waoili …

Read More »

SERIKALI HAITAWAVUMILIA WANAOPOTOSHA WAKULIMA

FB_IMG_1547060912870

Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amewataka Wakulima kutokusikiliza maneno ya barabarani ya wapotoshaji na badala yake waendelee kuiamini Serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Gavana Shilatu aliyasema hayo Leo Jumatano Januari 9, 2019 alipokutana na kufanya kikao …

Read More »

MHAGAMA ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA PSSSF SINGIDA

P1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya watendaji wa Mfuko wa PSSSF alipotembelea kukagua utekelezaji wa maagizo ya maagizo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli aliyoyatoa Desemba 28, 2018 alipokutana na …

Read More »