Friday , March 22 2019

Home / 2019 / January / 11

Daily Archives: January 11, 2019

RAIS MAGUFULI: NITAENDELEA KUWATUMIKIA WATANZANIA WOTE

11

Ndege mpya ya kisasa aina ya Airbus 220-300 iliyopewa jina la moja ya hifadhi ya  mbuga za wanyama (Ngorongoro), ikikaribishwa kwa water salute mara baada ya kutua leo 11 Januari 2019 katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere  ikitokea Canada ilikotengenezwa. Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ikiwasili kwa mara …

Read More »

*MIAKA 3, NDEGE 6, TANZANIA MPYA*

5

Na Emmanuel J. Shilatu Napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Kwa hatua nyingine ya kununua ndege Mpya ya Airbus A220 – 300 iliyopewa jina la Ngorongoro. Ndege Ngorongoro Ni Airbus ya pili kutua nchini. Ya Kwanza ni Airbus …

Read More »

Waziri Biteko Aanza kazi

1-min

Waziri wa Madini Doto Biteko (katikati) akieleza jambo wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara, Prof. Simon Msanjila. Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. Baadhi ya …

Read More »

KITILYA ASOMEWA TENA MASHTAKA MAPYA 58

kitilya-1024x576

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imemsomea mashtaka mapya 58 yakiwemo ya utakatishaji  fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola milioni sita aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake wawili ambao ni, aliyekuwa Miss Tanzania 1999 Shose Sinare na Sioi Solomon baada ya mapema leo asubuhi kuwafutiwa mashtaka nane …

Read More »

WAFANYABIASHARA VIGOGO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA MAKOSA 601

suu

Mfanyabiashara maarufu Mohamed yusufali na mfanyakazi wake Arital Maliwala wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 601 likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya bilioni 14. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na jopo la mawakili wa kutoka Takukuru wakiongozwa na Hashimu Ngole, Pendo Makondo, Leornad Swai …

Read More »

ASKARI SABA WASIMAMISHWA KAZI KWA KUOMBA RUSHWA

index

Jeshi la Polisi Tanzania leo tarehe 11/01/2019, limewasimamisha kazi askari saba (7) wa vyeo mbalimbali kwa kutenda kosa kinyume na mwenendo mwema wa Jeshi la Polisi na tayari wamefikishwa mahakamani kusomewa mashitaka yanayo wakabili. Hatua hii imechukuliwa, baada ya askari hao kuomba rushwa ya bilioni moja na baadae kupokea rushwa …

Read More »

MAHAKAMA YAPIGA ‘STOP’ UCHAGUZI YANGA

pic+yanga

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeusitisha uchaguzi mdogo wa Yanga uliopangwa kufanyika Jumapili katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Osyterbay mjini Dar es Salaam kwa agizo la Mahakama. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya …

Read More »

FAO YAAHIDI USHIRIKIANO ZAIDI NA SERIKALI

4

Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa akizunguza na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Ndugu Fred Kafeero na msaidizi wa mwakilishi huyo Ndugu Charles Tulahi katika ofisi za shirika hilo jijini Dar es Salaam Mheshimiwa Innocent Bashungwa akimueleza muwakilishi wa FAO nchini mipango ya …

Read More »

WATUMISHI WA TASAF WAELEKEZWA KUZIHUDUMIA VIZURI KAYA MASKINI ILI KUZIWEZESHA KAYA HIZO KUJIKIMU KIMAISHA NA KUONDOKANA NA UMASKINI

IMG_0001

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Maendeleo  ya Jamii (TASAF) (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi alipowatembelea ofisini kwao jijini Dar es Salaam  kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji. Mkurugenzi Mtendaji …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI

PIC 4-min

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda  na Kimataifa, Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha Taarifa ya Wizara yake kuhusu Utekelezaji wa afua za UKIMWI mahali pa kazi kwa wizara na namna inavyoshirikiana na Mataifa mengine katika mapambano dhidi ya madawa ya kulevya katika Kikao cha Kamati …

Read More »

BARCELONA YACHAPWA 2-1 NA LEVANTE KOMBE LA MFALME HISPANIA

8375644-6579139-image-m-23_1547155494359

Kiungo wa Levante, Ruben Rochina akijaribu kumdhibiti nyota wa Barcelona, Philippe Coutinho katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia. Levante ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Erick Cabaco dakika ya nne na Borja Mayoral anayecheza kwa mkopo kutoka Real Madrid …

Read More »

NAIBU WAZIRI AWESO ATOA ONYO KALI KWA MKANDARASI MULEBA

5

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jijini Bukoba (BUWASA), Mhandisi Allen Marwa (kushoto) na Meneja Ufundi BUWASA, Mhandisi Clavery Toto wakiwa katika Kituo cha Uzalishaji Maji Bunena, Bukoba Mjini, mkoani Kagera. Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa …

Read More »