Thursday , January 17 2019

Home / MICHEZO / BARCELONA YACHAPWA 2-1 NA LEVANTE KOMBE LA MFALME HISPANIA

BARCELONA YACHAPWA 2-1 NA LEVANTE KOMBE LA MFALME HISPANIA

Kiungo wa Levante, Ruben Rochina akijaribu kumdhibiti nyota wa Barcelona, Philippe Coutinho katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia. Levante ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Erick Cabaco dakika ya nne na Borja Mayoral anayecheza kwa mkopo kutoka Real Madrid dakika ya 18, wakati la Barcelona lilifungwa Coutinho kwa penalti dakika ya 85 na timu hizo zitarudiana Januari 17 Camp Nou PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

About Alex

Check Also

74cd07906b28bc9b942b481f9f46f6ce

TASWA YAITISHA MKUTANO KWA WANACHAMA WAKE KUJADILI RASIMU YA KATIBA YAKE

 Mkutano wa waandishi wote wa habari za michezo unatarajiwa kufanyika Jumapili Februari 10 mwaka huu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 + 1 =