Thursday , January 17 2019

Home / MCHANGANYIKO / RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

IMG_8763

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba,kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 12/1/2019, katika Uwanja wa Ngombani Pemba.(Pichja na Ikulu)

IMG_8767

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa  Karume Chakechake  Kisiwani Pemba, akielekea katika chumba cha VIP.(Picha na Ikulu)

IMG_8769

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama waliopfika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili kisiwani humo kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(Picha na Ikulu)

IMG_8770

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, baafda ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)     

About bukuku

Check Also

HA2

WAKULIMA KUSAJILIWA NA KUPATIWA VITAMBULISHO NCHINI

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akifungua  mkutano wa kitaifa wa wadau wa Tumbaku nchini leo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 − nine =