Tuesday , March 26 2019

Home / 2019 / January / 12

Daily Archives: January 12, 2019

WEST HAM UNITED YAICHAPA 1-0 ARSENAL

AA

Kiungo Declan Rice akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 akimalizia pasi ya mchezaji mpya, Samir Nasri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ushindi huo unaipandisha West Ham kutoka nafasi ya 11 hadi …

Read More »

SINGIDA YAMTANGAZA POPADIC KUWA KOCHA MKUU

49820714_759316744448106_1937524755850592256_n

Na Mwandishi Wetu, SINGIDA WALIOWAHI kuwa makocha wa Simba SC kwa wakati tofauti, Dragan Popadic na Dusan Momcilovic wamejiunga na klabu ya Singida United. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Singida United imewatambulisha makocha hao wawili raia wa Serbia ikisema Popadic atakuwa kocha mkuu na Msaidizi wake, Momcilovic.    Popadic …

Read More »

WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA KONDOA WAPATA NEEMA

AC3A9543

Afisa Elimu Sekondari wa Hamashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bi. Hildegard Saganda, akisoma taarifa ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, muda mfupi kabla Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, kabla ya kukabidhi mabati 1080 yenye thamani ya Sh. …

Read More »

Simba SC imekamilika, tutawashinda Waarabu – Waziri Mwakyembe

MWAKYEMBEEEE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kikosi cha timu ya Simba. ………………………………………………………………………………. Zikiwa zimesalia saa chache kwa Simba SC kuivaa JS Saoura katika mchezo wa klab Bingwa Afrika,Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kikosi cha Simba hivi sasa kimekamilika kila idara. …

Read More »

NIT Yazindua Kozi ya Wahudumu Ndani ya Ndege.

n5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaac Kamwelwe wakatikati aliyekaa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na waalikwa wakati wa uzinduzi wa kozi ya wahudumu wa ndani ya ndege iliyozinduliwa jana.Katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Mkuu wa Chuo cha NIT Profesa Zakaria Mganilwa akifafanua jambo …

Read More »