Thursday , January 17 2019

Home / MICHEZO / LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND,YAICHAPA 1-0 BRIGHTON $ HOVE ALBION

LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND,YAICHAPA 1-0 BRIGHTON $ HOVE ALBION

Nahodha Jordan Henderson akishangilia na mfungaji wa bao pekee la Liverpool, Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City wanaofuatia katika nafasi ya pili ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

About Alex

Check Also

74cd07906b28bc9b942b481f9f46f6ce

TASWA YAITISHA MKUTANO KWA WANACHAMA WAKE KUJADILI RASIMU YA KATIBA YAKE

 Mkutano wa waandishi wote wa habari za michezo unatarajiwa kufanyika Jumapili Februari 10 mwaka huu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one + 12 =