Friday , March 22 2019

Home / MCHANGANYIKO / RAIS WA ZANZIBAR MHE. DK. SHEIN APOKEA GWARIDE LA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR UWANJA WA GOMBANI

RAIS WA ZANZIBAR MHE. DK. SHEIN APOKEA GWARIDE LA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR UWANJA WA GOMBANI

IMG_8905

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, alipowasili katika viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhguria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

IMG_8925

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungua Mkono Wananchi akiwa katika gari Maalum ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakati akiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.(Picha na Ikulu)

IMG_8966 IMG_8998

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea shatu ya Gwaride rasmin la maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliofadhimishwa kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.(Picha na Ikulu)

IMG_9005 IMG_9008

IMG_9058

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba. leo (Picha na Ikulu)

IMG_9076

IMG_8778

WANANCHI wakisoma Gazeti la Toleo la Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, gazeti la Zanzibar leo, wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi katika Uwanja wa Gombeni Kisiwani Pemba leo.(Picha na Ikulu)

IMG_8780 IMG_9518

KIKOSI cha Makomandoo wa JWTZ wakipita kwa ukakamavu wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Uwanja wa Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)

IMG_9522 IMG_9552

ASKARI wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wakionesha jinsi ya uchezaji wa gwaride la zamani, wakati wa sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani.(Picha na Ikulu)

IMG_9602

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wakionesha jinsi ya uchezaji wa Gwarige la kimya, wakati wa Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Gombani.(Picha na Ikulu)

IMG_9632

IMG_9666 IMG_9670 IMG_9762 IMG_9772

MKE wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehe Mzee Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume, Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Anna Mkapa na Mke wa Rais Mstaaf wa Zanzibar Mama Shadya Karume, wakifuatilia Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu0

IMG_9787 IMG_9790 IMG_9804

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

IMG_9829

Viongozi mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kisiwani Pemba leo.

IMG_9867

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

About bukuku

Check Also

PMO_0526

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MUHOGO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mwenyekiti wa Kampuni ya Cassava Starch Of Tanzania Corporation Limited  (CSTC), Bw. Gerald …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one + eighteen =