Friday , March 22 2019

Home / MICHEZO / WEST HAM UNITED YAICHAPA 1-0 ARSENAL

WEST HAM UNITED YAICHAPA 1-0 ARSENAL

Kiungo Declan Rice akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 akimalizia pasi ya mchezaji mpya, Samir Nasri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ushindi huo unaipandisha West Ham kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikifikisha plointi 31 katika mechi ya 22, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 41 za mechi 22 pia PICHA ZAIDI SOMA HAPA  

About Alex

Check Also

54435785_2178583732221724_2522749483410784256_n

Special Olympics kuwasili kesho Mchana kutoka Abudhabi

Mkurugenzi wa Special Olympics International (SOI) Tim Shriver (kushoto) akipunga mkono na wachezaji wa Tanzania …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

three + one =