Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / February

Monthly Archives: February 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KATI NA WADOGO WA KARIAKOO

PMO_4456-min

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaa,, Februari 28, 2019.  Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda. Baadhi ya wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa …

Read More »

Elimu Inatakiwa kupunguza Utapiamlo

DSCN0157-min

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mradi wa Lishe Endelevu  baada ya kikao kilichofanyika katika Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Majura Kasika, Meya wa Manispaa ya Morogoro Mhe. Pascal Kihanga, …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI

index

Benki Kuu ya Tanzania ilifanya ukaguzi wa kawaida wa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni jijini Dar es Salaam na kubaini kwamba maduka mengi yanaendesha biashara hiyo pasipo kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utoaji wa huduma ya kubadilisha fedha za kigeni. Kufuatia ukaguzi huo, Benki Kuu ya Tanzania imeanza …

Read More »

WAFANYAKAZI WAPYA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE WAMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUFUATA SHERIA,KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA

Picha 1-min

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wafanyakazi wapya (hawapo pichani) wakati wa mafunzo mafupi ya utendaji kazi kwa wafanyakazi hao jana katika ukumbi wa taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Rasilimali watu Bi. Ghati Chacha Baadhi …

Read More »

BENKI YA DCB IMETAKIWA KUWAJENGEA UWEZO WATEJA WAKE

JAFO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipotembelea Benki ya Biashara ya DCB tawi la Dodoma leo Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Biashara ya DCB Bw.Godfrey Ndalahwa(katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo …

Read More »

SERIKALI YAMWAGA NAFASI MPYA ZA AJIRA ZA UALIMU

JAFO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza nafasi za ajira kwa Walimu 4,549 wa Shule za Msingi na Serkondari katika mwaka wa fedha 2018/19 leo jijini Dodoma. Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog ……………….. Na.Alex …

Read More »

DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja!

2

Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo akitangaza rasmi promosheni maalum ya kuwapandisha daraja wateja wa DStv ambapo mteja akilipia kifurushi cha juu yake huzawadiwa kifurushi cha cha juu ya kile alicholipia. Promosheni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi miwili itaishia mwisho wa mwezi wan ne. Meneja Masoko wa MultiChoice …

Read More »

MKURUGENZI WA UKAGUZI WA MIGODI NA MAZINGIRA, TUME YA MADINI AONGOZA ZIARA YA KAMATI YA KITAIFA YA UFUNGAJI MIGODI KATIKA MGODI WA DHAHABU WA GEITA

PICHA NA 3-min

Sehemu ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) uliopo Wilayani Geita Mkoani Geita. Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira  kutoka Tume ya Madini, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ufungaji wa Migodi, Dkt. Abdulrahaman Mwanga (kulia) akikagua sehemu ya kuhifadhia maji yenye kemikali kwenye Mgodi wa …

Read More »

CHANZO CHA MTO LUWEGU

1-min

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Namtumbo mara baada ya kuwasili Wilayani hapo kwa lengo la kubaini changamoto za kimazingira na kuweka mikakati ya kuhifadhi Ikolojia ya Vyanzo vya Maji. Naibu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano …

Read More »

WAZIRI MBARAWA AMPA SIKU NNE MKANDARASI WA MAJI KILINDI

M

   WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa akizungumza mara baada ya kutembelea wilaya ya Kilindi wakati wa ziara yake kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kilindi Sauda Mtondoo Mbunge wa Jimbo la Kilindi (CCM) Omari Kigua akimueleza changamoto ya maji ya wilaya hiyo  Waziri wa Maji Proffesa Makame Mbarawa wakati …

Read More »

UAMUZI WA SERIKALI WA KUWABANA WATUMISHI WA UMMA WAZAA MATUNDA

PMO_4403

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa amempakata  mototo Natasha Chriswell wakati alipotembelea Kliniki ya Methadone  katika hospitali ya Mwananyamala wilayani Kinondoni, Februari 27, 2019.  Kulia ni mama wa mtoto huyo, Zaynab Hamisi  ambaye miaka saba iliyopita alikuwa ni muathirika  wa dawa za kulevya  na amepatiwa matibabu katika Kiliniki hiyo,  hivi sasa ni mzima, ameolewa na amebahatika kupata mtoto huyo. Waziri …

Read More »

WAZIRI KIGWANGALA ATEUA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA – (TAWA)

2

Jane Mihanji mmoja wa wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya TAWA walioteuliwa ………………………………………………. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi A. Kigwangalla (Mb.), amekamilisha uteuzi wa safu ya wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – (TAWA), kulingana na mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa …

Read More »