Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / ZIARA YA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA MKOANI IRINGA

ZIARA YA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA MKOANI IRINGA

IMG-20190209-WA0072
KATIBU mkuu uvccm Taifa Raymond  Mwangala ameagiza jumuiya ya vijana  nchini  kuadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi ccm katika ngazi ya matawi,kata ,wilaya na mikoa kwa kushiriki shughuli za maendeleo zikiwemo ujenzi vyumba vya madarasa  katika shule za msingi na sekondari,zahanati,barabara pamoja na kufanya usafi.
Hayo ameyasema mkoani Iringa katika ziara yake ya siku moja aliyoifanya jana kwa lengo la kuadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa ccm huku akiwaongoza uvccm Iringa mjini katika kuweka mbolea katika shamba la mahindi Iggumbilo.
Katik ziara hiyo aitembelea chuo cha Ihemi kinachomilikiwa na uvccm kukagua shghuli mbalimbali ikiwemo y ukarababti na miundombinu,huku akiitaka Iadara ya maji kuharakisha ukarababti wa miundombinu ya maji ili chuo hicho kitakapoanza kufanya kazi wanafunzi wasipate shida ya maj safi na salama,pamoja na umeme.

About Alex

Check Also

_MG_1453

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × 5 =