Saturday , March 23 2019

Home / MICHEZO / WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAFURIKA UWANJA WA TAIFA MUDA HUU, WAKIWAVAA AL AHLY YA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAFURIKA UWANJA WA TAIFA MUDA HUU, WAKIWAVAA AL AHLY YA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 
 Sehemu ya Washabiki wa Timu ya Simba (Wekundu wa Msimbazi) wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam tayari kwa kuishangilia timu yao inakipiga jioni hii na Timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi D wa Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, ikiwa ni mechi ya marudiano baada ya mchezo wa awali ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 5-0.
 Washabiki wa Timu ya Simba wakiwa kwenye foleni ya kuingia Uwanjani kushangilia timu yao.

About Alex

Check Also

NGEREJA 4D

MATUKIO KATIKA PICHA :UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS

Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twelve − 1 =