Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI KAMWELWE KATIKA KIKAO KAZI KUHUSU KUKWAMA KWA MAKONTENA ZAIDI YA 900 BANDARI YA DAR ES SALAM

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI KAMWELWE KATIKA KIKAO KAZI KUHUSU KUKWAMA KWA MAKONTENA ZAIDI YA 900 BANDARI YA DAR ES SALAM

1-min 2-min

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akifafanua jambo mbele ya Wafanyabishara  kutoka Congo DRC (Hawapo Pichani) katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salaam, kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imeanza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019, Kulia ni Kaimu Balozi wa Congo nchini Tanzania Yamba Yamba.

3-min

Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Congo DRC (waliokaa kushoto) wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 Bandari ya Dar es Salaam kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imeanza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019.

4-min

Kaimu Balozi wa Congo nchini Tanzania Yamba Yamba(kulia) akimsikiliza , Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salaam, kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imenza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019.

5-min

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe Akisisitiza jambo mbele ya Wafanyabishara  kutoka Congo DRC katika kikao kazi kuhusu kukwama kwa makontena zaidi ya 900 katika Bandari ya Dar es Salaam, kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, ambapo Serikali imenza kuruhusu makontena hayo kuanza kutolewa leo Februari 18, 2019.

(Picha Idara ya Habari MAELEZO)

 

About Alex

Check Also

WAKITAZAMA

Waziri Biteko Asema Wizara Iko Tayari kuwahudumia Watanzania kutokea Ihumwa

Muonekano wa Jengo la Wizara ya Madini linalojengwa katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa.  …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 + nineteen =