Saturday , March 23 2019

Home / MICHEZO / MECHI YA WATANI YANGA NA SIMBA YAINGIZA MILIONI 342,825,000

MECHI YA WATANI YANGA NA SIMBA YAINGIZA MILIONI 342,825,000

8H3H7267

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000
Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266.
VIP A waliingia Watazamaji 546 kwa kiingilio cha Shilingi 30,000 na kupatikana jumla ya shilingi 16,380,000,VIP B na C waliingia Watazamaji 3,185 kwa kiingilio cha shilingi 20,000 ikapatikana jumla ya shilingi 63,700,000,Majukwaa ya rangi ya Machungwa,Bluu na Kijani waliingia Watazamaji 37,535 kwa kiingilio ncha shilingi 7,000 imepatikana jumla ya shilingi 262,745,000
Mgawanyo wa mapato
VAT                             52,295,338.98
Selcom                       15,170,006.25
TFF                              13,767,982.74
Uwanja                        41,303,948.22
Young Africans         165,215,792.86
Gharama za mchezo  19,275,175.83
TPLB                          24,782,368.93
BMT                           2,753,596.55
DRFA                          8,260,789.64

About Alex

Check Also

PIX 4

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Yaridhishwa na Upanuzi wa Usikivu wa TBC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt.Ayoub Ryoba(mwenye tai nyekundu) akiwasilisha Taarifa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ten + 11 =