Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 01

Daily Archives: March 1, 2019

TANROADS MKOA WA MOROGORO IMEJIPANGA KUKARABATI BARABARA

PIX 1

Wafanyakazi wa TANROADS wakiwa katika  Ukarabati wa Barabara Mkoani Morogoro …………………………………………. NA FARIDA SAIDY MOROGORO Wakala wa barabara (TANROADS) Mkoani Morogoro katika kutekeleza ujenzi na ukarabati wa barabara mkoani humo, imetenga shilingi bilioni ishirini na moja na milioni mia tano ishirini na nane(21,528,000,000) ili kukamirisha ujenzi wa barabara yenye urefu …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KAHAMA

2

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wanachi wa kata ya Isaka waliojitokeza kwa wingi kumlaki wakati akiwasili wilayani Kahama kwenye ziara ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Makamu Rais)  Matanki mawili ya maji ambayo ni sehemu ya mradi wa upanuzi wa mtandao …

Read More »

Mwili wa shujaa Ruge Mutahaba wawasili jijini Dar es Salaam

1

  Mwili wa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es aalaam …

Read More »

VIJANA WA KITANZANIA KUPATA FURSA YA KIPEKEE

homepagebanner

Vijana wa Kitanzania kupata fursa ya kipekee! Shindano la ujasiriamali la Tujenge TZ Innovation Challenge linapokea michanganuo kutoka kwa wajasiriamali vijana hadi tarehe 13 mwezi wa tatu mwaka huu. Vijana kupewa fursa ya kupata mafunzo, wawekezaji na mengine mengi kwa ajili ya kukuza biashara zao. Tembelea www.tujengetzchallenge.co.tz

Read More »

MASHINDANO YA BAMMATA SOKA JKT WAAGA KWA KISHINDO

BASKETBALL 2

Nahodha wa Kanda ya Magereza Sajini Tausi Abdul akipambana na Private Ester Lisu wa Ngome wakati wa Mchezo wao katika Michauano ya BAMMATA kuwania nafasi ya pili katika Mchezo huo Ngome ilishinda Magereza vikapu 68 kwa 60 . Picha na Luteni Selemani Semunyu. Mchezaji wa Kanda ya Magereza Sajini Mary …

Read More »

WAZIRI UMMY KUZINDUA KAMPENI YA “SIKUPIGI TENA”

PIX 1

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu Maendeleo ya Jamii) Dkt. John Jingu akizungumza katika kikao kilichokutanisha Wizara na Msanii Nurdin Bilal maarufu kama Shetta mjini Dodoma kuwasilisha andiko la Kampeni ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto ijulikanayo kwa jina la …

Read More »

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA UTEUZI NA KUWAPANDISHA VYEO MAOFISA WA POLISI

images

MHESHIMIWA  RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA AMEFANYA UTEUZI NA KUWAPANDISHA VYEO BAADHI YA MAOFISA WA POLISI KUWA MAKAMISHNA WA POLISI  NA KUWAHAMISHA WENGINE WAWILI KAMA IFUATAVYO; …………………………………………………………… NAIBU KAMISHNA WA POLISI (DCP) CHARLES MKUMBO AMETEULIWA NA KUPANDISHWA CHEO …

Read More »

MAANDALIZI YA UJENZI WA KABURI AMBALO UTAHIFADHIWA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA YANAENDELEA

3

Maandalizi ya Shughuli ya Mazishi ya Ruge Mutahaba yanaendelea Nyumbani Kwao Kabale, Bukoba ambapo ndipo Mwili utakapostiriwa. Ujenzi wa Kabuli unaendelea kwa kasi ambapo Fundi anathibitisha kufikia jioni Leo litakuwa limekamilika ukiwa unasubiriwa mwili ambao utawasili jijini Dar es salaam leo kwa ndege ukitokea Afrika Kusini ambako ndiko alikokuwa akipokea …

Read More »

Upatikanaji wa maji vijijini ni asilimia 66, Serikali yawekeza nguvu zaidi katika miradi ya maji -Profesa Mbarawa

index

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akizungumza na waandishi ofisini kwake Ubungo Maji leo. …………………………………………………………………………………………… SERIKALI imesema kuwa hali ya upatikanaji wa maji vijijini ni asilimia 66 hivyo nguvu zaidi inatumika katika kuhakikisha inafikia asilimia 90 wakati mkoa wa Dar es Salaam ukiwa na asilimia 85 ya …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN, AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR

IMG_9017-min

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia leo,1/3/2019 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, …

Read More »

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA “DEFEND DEFENDERS” GENEVA, USWISI

IMG_0227-min

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akimsikiliza Bw.  Nicolas Agostini kutoka Taasisi isiyo ya Kiserikali ya “Defend Defenders alipokutana na viongozi hao Mjini Geneva nchini Uswisi Februari 28, 2019 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na ujumbe wake wakiwasikiliza viongozi wa Taasisi isiyo ya …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WILAYANI KISHAPU

9-1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wananchi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ……………………………………………………………………………….. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 …

Read More »