Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 02

Daily Archives: March 2, 2019

AUBAMEYANG AINYIMA USHINDI ARSENAL DHIDI YA SPURS

AA

Kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris akiokoa mkwaju wa penalti wa mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya mwisho kuinusuru Spurs kuchapwa baada ya kutoa sare ya 1-1 Uwanja wa Wembley leo. Aaron Ramsey alitangulia kuifungia Arsenal dakika ya 16 akimalizia pasi ya  Alexandre Lacazette kabla ya Harry Kane kuisawazishia Spurs kwa penalti dakika …

Read More »

Urasimishaji Ardhi Kuongeza Tija Sekta ya Kilimo na Ufugaji

1

Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bw. Antony Temu akisisitiza kuhusu faida watakazopata wananchi baada ya za kutumia fursa zinazotokana na mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa kijijin cha Membe wilayani Chamwino hivyo kuchangia katika kukuza uchumi na ustawi wa wananchi …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MSALALA NA USHETU

4-4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Ezekiel Maige mara baada ya kuwasili kwenye kituo cha afya Ngaya wilayani Kahama, Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

Abdullatif Yunus Kutoka Kagera anasema: KARIBU RUGE UNASUBIRIWA NYUMBANI UPUMZIKE

R8

Pichani ni Askofu TZA wa Clouds (mwenye kofia) akitoa ufafanuzi kuhusu jukwaa litakalofungwa eneo hilo kwa ajili ya shughuli ya kuaga. …………………………………………………………………. Anaandika Abdullatif. Yunus. Siku ya Jumamosi Bado Masaa machache kabla ya kumpokea Mpambanaji, Shujaa, Muongoza njia Marehemu Ruge Mutahaba Nyumbani kwao Kiziru, Kabale – Bukoba. Hali ni shwari …

Read More »

Wananchi Wamiminika Mloganzila kupima Usikivu

001

  Daktari Bingwa wa Upasuaji Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Godlove Mfuko wa Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila akimpima mgonjwa kiwango cha usikivu katika zoezi la upimaji wa usikivu linalofanyika leo hospitalini hapo leo na kesho. Katika picha baadhi ya wananchi waliojitokeza kupima kiwango cha usikivu hospitalini hapo. …

Read More »

Morogoro kutumia Tsh. 355 Bil 2019/2020

image1

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akifungua kikao cha Ushauri cha Mkoa (RCC)  kilichofanyika Machi Mosi, 2019 katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Morogoro Wajumbe wa Kikao cha RCC wakiwa katika Ukumbi tayari kwa majadiliano. Katibu  Tawala wa Mkoa wa Morogoro Clifford Tandari (aliyesimama)akimkaribisha Mwenyekiti wa …

Read More »

TIGO YAMZAWADIA MKIMBIAJI SHUPAVU MWENYE MIAKA 93 NYUMBA

PICHA 1-min

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo Tanzania Simon Karikari (wa pili kulia) akikata utepe kuashiria kumkabidhi rasmi nyumba mzee Joram Mollel (93) ambaye amekuwa akishiriki mbio za Tigo Kili Half Marathon kwa miaka minne mfululizo. Kulia kwake ni mzee Mollell akifautiwa na mwanaye Elibarik Mollel pamoja na Afisa Biashara Mkuu …

Read More »

GWAJIMA AMPONGEZA LOWASSA KWA UAMUZI WA KURUDI CCM

temp_1551470855071

  Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu, Methusela Gwajima amempongeza Waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa kwa umuzi wake wa kurudi CCM, na kuachana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo alikuwa Mjumbe wa kamati kuu. Gwajima ametoa pongezi hizo leo mara baada ya Lowasa kupokelewa katika ofi …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA JAMII KUPIMA VVU

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akifunua kitambaa mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma za tiba na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika Mji mdogo wa Mirerani wilayani …

Read More »