Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 03

Daily Archives: March 3, 2019

SPIKA ZA MASIKIONI CHANZO CHA MATATIZO YA USIKIVU

index

Na WAMJW – Dar Es Salaam Spika za masikioni maarufu kwa jina la “Headphones” zimetajwa kuwa chanzo kinachopeleka tatizo la usikivu hafifu kwa watu. Hayo yamesemwa leo na Waziri mwenye dhamana ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza na wananchi katika Hospitali ya …

Read More »

MWILI WA RUGE MUTAHABA WAWASILI BUKOBA KWA NDEGE YA SERIKALI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA

Q8

Mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba mara baada ya kushushwa kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa Bukoba. ……………………………………………………………………………….. Mamia ya wananchi wamefurika Uwanja wa Ndege Bukoba kushiriki mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Tanzania na aliyekuwa mhamasishaji mkubwa wa vijana katika matumizi …

Read More »

Dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali

DSC_0017

 Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Aziza Mangosongo akisaidiwa kupandishwa katika gari la wagonjwa baada ya kupata Rufaa toka hospital ya sokoine kwenda muhimbili..  Mkuu wa mkoa wa lindi akiwa na mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda(kulia ) wakimsindikiza mkuu wa wilaya ya Newala Aziza Mangosongo aliepata ajali …

Read More »

BARCELONA YAICHAPA TENA REAL MADRID 1-0 PALE PALE BERNABEU

10499056-6764499-Ivan_Rakitic_struck_midway_through_the_first_half_to_hand_Barcel-a-62_1551562582886

Ivan Rakitic akinyoosha mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 26 akimalizia kazi nzuri ya Sergi Roberto  ikiilaza Real Madrid 1-0 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid katika mchezo La Liga. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 26, ikiendelea kuongoza La Liga kwa …

Read More »

Mkandarasi wa REA Mkoani Rukwa kukataliwa kuendelea na Mradi

index

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesisitiza kukataliwa kuendelea na utekelezaji Mradi wa Mmeme Vijiji (REA) mkandarasi Nakuroi Investment kwa kushindwa kufikia hata nusu ya utekelezaji wa mradi huo hadi kufikia mwezi Februari mwaka huu. Mkandarasi huyo ambaye alitegemewa kutekeleza mradi huo katika vijiji 111 vya mkoa wa …

Read More »

Matuta 212 Yaliyopo Barabara ya Tunduma – Sumbawanga Yapatiwa Ufumbuzi

IMG_7142

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amewashauri Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoani Rukwa kukutana na madiwani pamoja na wenyeviti wa halmashauri zinazopitiwa na barabara ya Tunduma – Sumbawanga ili kuyabaini matuta yaliyowekwa maeneo ambayo hayana ulazima hivyo kutostahili kuendelea kuwepo kwenye barabara hiyo na hatimae kujiandaa kuyapunguza wakati wakiendelea …

Read More »