Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 04

Daily Archives: March 4, 2019

MTANZANIA ASHINDA MBIO ZA TIGO KILI HALF MARATHON

PIC 03-min

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na Rais wa Chama cha Riadha Tanzania, Anthony Mataka (wa pili kushoto) akimpongeza mshindi wa kwanza katika mbio za kilomita 21 maarufu kamaTigo Kili Half Marathon Emmanuel Giniki baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia aliyeshikilia mfano wa hundi kwa ajili ya kumkabidhi mshindi huyo …

Read More »

DC PANGANI AWAFUNDA VIJANA

_MG_9061

MKUU wa wilaya ya Pangani Mkoani Tanga Zainabu Abdallah akizungumza wakati akifungua warsha ya vijana juu ya kutambua malengo 17 ya maendeleo endelevu  ya Dunia yaliyoendeshwa na serikali kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) yakishirikisha vijana 100 wa kike na kiume kulia ni  Mratibu Mkazi wa Umoja …

Read More »

Umeme utumike kuinua Ufaulu Mashuleni

index

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Bi. Subira Mgalu, Akizungumza wanafunzi wa Shule ya Msingi Chalinze Mzee iliyopo Chalinze Mkoani Pwani kabla ya kuzindua na kuwasha Umeme rasmi katika kijiji cha Chalinze Mzee Mkoani Pwani.   …………………….. Na Yasini Silayo, Pwani Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe. Bi. Subira Mgalu …

Read More »

WASOMI NCHINI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA TAFITI

IMG_0717

   Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii Wasomi Vyuo Vikuu na vyuo vya elimu ya juu nchini wametakiwa kuwekeza katika tafiti mbalimbali ili kuweza kuisadia Jamii ya kitanzania katika harakati za kufikia uchumi wa kati.   Hayo yamesemwa  leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard …

Read More »

MKURUGENZI KMAPUNI YA UWINDAJI YA OBC APANDISHWA KIZIMBANI

index

Na Ahmed Mahmoud Arusha Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uwindaji ya Otterlo Business Corporation{OBC} inayofanya shughuli zake katika Mji wa Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha Isack Mollel{59} amepandishwa kizimbani kujibu mashitaka kumi ikiwemo uhujumu uchumi,utakatishaji fedha haramu,kugushi na kutoa maelezo ya uongo ya kukwepa kodi ya mabilioni ya pesa. Akisomewa …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI WAWILI, BALOZI MMOJA PAMOJA NA KUSHUHUDIA UAPISHWAJI WA MAOFISA WATANO WA JESHI LA POLISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

4.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje …

Read More »

JAFO APIGA MARUFUKU TARURA KUCHONGA VIBOKSI BARABARANI

JAFO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo,akizungumza wakati  wa ziara ya kukagua  miradi ya uboreshaji wa barabara za ndani  na nje ya jiji la Dodoma zinazotekelezwa na Serikali kukabiliana na kero za foleni za barabarani nchini Mratibu wa Tarura Mkoa wa Dodoma …

Read More »

NAIBU WAZIRI KANYASU AWANYOSHEA KIDOLE WATOA HUDUMA ZA UTALII HOTELINI

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza  na  wahitimu 21 wa kozi ya ukalimu yanayotolewa bure kupitia mradi wa Trade Aid katika mji mkongwe wa kihistoria wa Mikindani uliopo  katika Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara ambapo Mhe.Kanyasu amewataka wahitimu hao mara watakapoajiriwa waende wakaoneshe utofauti wakawe  mfano bora  kwa kuchochea …

Read More »

UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA

2

Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Julius Chambo, akitoa elimu kwa madereva wa malori kuhusu utekelezaji wa Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, mjini Tunduma, mkoani Mbeya. Sheria hiyo imeshaanza kutumika tarehe 1 Machi, …

Read More »