Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 05

Daily Archives: March 5, 2019

WAZIRI MKUU AONGOZA MAZISHI YA IMAMU WA MSIKITI WA MTORO

WAZIRI-Mkuu-Kassim-Majaliwa(6)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Machi 5, 2019) amewaongoza wakazi wa jijini la Dar es Salaam katika mazishi ya Imamu wa Msikiti wa Mtoro Sheikh Zubeir Yahya Mussa yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu. Sheikh Zubeir ambaye ni miongoni mwa masheikh maarufu jijini Dar es salaam alifahamika sana kutokana na …

Read More »

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA KUJENGA NA KUKAMILISHA MIUNDOMBINU YA SHULE WILAYANI BUHIGWE-KIGOMA

2-min

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikagua miundombinu ya nyumba za walimu ambazo katika shule ya Sekondari Janda iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari Janda iliyoko Halmashauri ya wilaya …

Read More »

340 Wakutwa na Maambukizi ya VVU Magerezani

0

  Jumla ya wafungwa na mahabusu 15,250 nchini wamepima Virusi vya Ukimwi huku 340 wakikutwa na maambukizi baada ya Jeshi la Magereza wakishikiana na Wizara ya  Afya  kutoa elimu ya Upimaji katika Magereza mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati …

Read More »

CHAMWINO YATAKIWA KUONGEZA KASI UJENZI WA HOSPITALI

JAFO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo akizungumza na wananchi  leo katika ziara yake ya kukagua ujenzi wa hospitali ya kijiji cha Mlowa barabarani kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali …

Read More »

MNYETI ADAI HAKUNA JESHI LA KUZUIA UKIMWI

1

  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pstory Mnyeti akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro katika kuhakikisha kuwa wanaepuka maambukizi mapya ya VVU. Mbunge wa viti maalum mkoani Manyara, (CCM) Martha Umbullah akiishukuru Serikali kwa kuwajali wananachi wa Mji mdogo wa Mirerani kwenye suala zima la …

Read More »

SHILATU ATOA MASAA 24 UJENZI UENDELEE MARA MOJA

FB_IMG_1551785615683

Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ametoa maelekezo ndani ya masaa 24 mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama tangu Mwaka Jana 2018 uendelee mara moja kwa Mkandarasi kuitwa kumalizia ujenzi huo.  Shilatu aliyasema hayo alipotembelea Shule ya Msingi Ngongo iliyopo Kijiji Cha Ngongo kata …

Read More »

BUNGE: KAMATI ZA BUNGE KUANZA JUMATATU JIJINI DODOMA

Basic CMYK

Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana Jumatatu tarehe 11 hadi 31 Machi, 2019 Mjini Dodoma kutekeleza majukumu ya kibunge kabla ya Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge uliopangwa kuanza tarehe 02 Aprili, 2019.  Kwa mujibu wa Ratiba ya Shughuli za Kamati, Waheshimiwa Wabunge wote wanapaswa kuwasili Mjini Dodoma …

Read More »

SERIKALI YAPATA MKOPO WA MASHARTI NAFUU KIASI CHA SHILINGI BILIONI 589.26 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) ZITAKAZOTUMIKA KATIKA UJENZI WA BARABARA YA KABINGO (KAKONKO) –KASULU-MANYOVU KM 260 KWA KIWANGO CHA LAMI

6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James kulia akisaini mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wenye thamani ya Shilingi bilioni 589.26 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB iliyowakilishwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki hiyo hapa nchini Dkt. Alex Mubiru (kushoto akisaini) katika hafla iliyofanyika katika ofisi …

Read More »

Benki ya UBA yazindua shughuli za kifedha nchini Uingereza

UBA UK Launch 3

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya UBA Uingereza, Patrick Gutmann, Mkurugenzi Mtendaji, UBA Plc, Kennedy Uzoka, Rais Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Mwenyekiti wa UBA Group, Tony Elumelu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wakati wa uzinduzi wa UBA London nchini Uingereza. ……………………………………………………………………………………….. LONDON, UINGEREZA WIKI tatu tu baada …

Read More »