Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 06

Daily Archives: March 6, 2019

KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA

BOT 2-min

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Naibu Gavana Uchumi na Sera wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Dkt. Yamungu Kayandabila wakati kamati hiyo ilipotembelea Benki hiyo Kanda ya Arusha. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. George …

Read More »

MWENYEKITI WA UWT KABAKA AMEWATAKA WANACHAMA WA CCM KISIWANI PEMBA KUBUNI NA KUANZISHA MIRADI ENDELEVU YA KUSAIDIA JAMII

IMG_1923-min

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akijenga shule ya sekondari Kangagani Wete Pemba katika ziara yake iliyoanza leo Visiwani Pemba. MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akizungumza na Wazee wanaotunzwa katika nyumba ya Wazee uko Limbani Wete Pemba. MWENYEKITI wa …

Read More »

Wataalam wa Fiziotherapia nchini wapigwa msasa

????????????????????????????????????

Mtaalam wa Fiziotherapia, Beppie Hylkema kutoka Chuo Kikuu cha Fiziotherapia nchini Uholanzi akitoa mafunzo kwa wataalam mbalimbali ambao wametoka hospitali mbalimbali  nchini kuhusu tiba kwa kina mama na wanaume wenye matatizo kwenye mfumo wa mkojo, mfumo wa uzazi na maumivu katika nyonga. Mafunzo hayo yanafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili …

Read More »

Baraza la Wazee Asilia watoa msaada kwa Wagonjwa Mloganzila

001

Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Redemptha Matindi akitoa neno la shukrani mara baada ya kupokea msaada wa sabuni, mafuta ya kujipaka uliotolewa leo hospitalini hapo. Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Sista Redemptha Matindi akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa Baraza hilo leo katika …

Read More »

MGEJA AIPIGA CHINI CHADEMA ARUDI CCM KWA KISHINDO

KHAMIS-MGEJA

  *Awapa CHADEMA ushauri mzito, ampongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuleta maendeleo kwa watanzania Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga na baadaye kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Khamis Mgeja amerudi kwenye chama chake cha awali huku akiwaasa watanzania …

Read More »

AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA

FB_IMG_1551876307305

Na Mwandishi wetu Mihambwe Hatimaye mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama tangu Mwaka jana 2018 umeanza tena kujengwa. Ujenzi huo wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ngongo iliyopo Kijiji cha Ngongo kata ya Michenjele umeanza kutekelezwa kufuatia agizo alilolitoa Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu la masaa …

Read More »

SERIKALI YAKASIRISHWA NA TABIA YA UONGOZI WA MGODI

IMG_20190305_171107_3-min

  Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko wa tatu kulia akiteta jambo na Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. John Heche wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Nyamong wilayani Tarime katikati yao ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime. Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akihutubia wananchi kwenye mkutano wa …

Read More »

SHERIA MPYA YA MAJI KULETA NAFUU KATIKA KUTEKELEZA MIRADI

IMG_0074

Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa akizungumza leo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa Wadau wa Maji nchini unaolenga kuwaelimisha wadau hao kuhusu uanzishwaji wa Wakala wa Maji Vijijini. Baadhi ya Wadau wa Maji wakimsikiliza Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati akifungua kikao hicho. Waziri wa Maji, …

Read More »

PPICHA RT, NCAA WAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI

IMG-20190306-WA0049

Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro  (NCAA), Dk. Fred Manongi akisaini makubaliano maalum (MOU), na Shirikisho la Riadha Tanzania  (RT), kusapoti programu mbali mbali za mchezo wa riadha kuelekea Michezo ya Olimpiki Tokyo Japan 2020. Wanaoshuhudia Kushoto ni Katibu Mkuu wa RT Wilhelm Gidabuday na Mjumbe Kamati Tendaji …

Read More »

WANAWAKE WAFANYAKAZI WAKUTANA DODOMA KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI DUNIA IKIHADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Pix 1

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akifungua Kongamano la wafanyakazi Wanawake jiijini Dodoma liliofanyika kwa lengo la kuwakutanisha wafanyakazi hao kujadiliana na kupata namna bora za kuweza kumuwezesha kiuchumi  mwanamke. Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. …

Read More »

Madaktari Nchini Wakumbushwa kuzingatia Maadili

001

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Bakari akizungumza kwenye mkutano wa kuadhimisha siku ya madaktari nchini ambayo hufanyika Machi 4 kila mwaka. Katika mkutano huo, Prof. Kambi amewataka madaktari kuzingatia weledi na maadili wakati wa kutoa huduma katika sehemu zao za kazi. Prof. Kambi alimwakilisha Waziri wa Afya Maendeleo ya …

Read More »