Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 07

Daily Archives: March 7, 2019

Changamkieni Fursa! German-Africa Expo na Intern.Afrika Festival Tübingen 2019 Ujerumani

International Afrika Festival

Watayarishaji wa maonyesho makubwa ya German-Africa International Expo yanaoambata na Afrika International Festival Tübingen,yatakayofanyika kuanzia 29 Julai mpaka 2 Augosti 2019 katika mjiwa Tübingen,nchini Ujerumani , wamefungua milango ya maombi kwa wale wanaotaka kushiriki katika maonyesho hayo.ambapo kutakuwa na maonyesho ya makampuni ya kiafrika na bidhaa zao,maonyesho ya sanaa na …

Read More »

TGNP YATOA AZIMIO LA KUHAMASISHA WANAWAKE KUGOMBEA UONGOZI

IKUPA 1

Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu,Stella Ikupa akifungua Kongamano la Mtandao wa Jinsia nchini TGNP katika kuelekea katika kuadhimisha siku ya wanawake Dunia. Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Watoto Bi.Mwajuma Magwiza kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto akieleza chimbuko …

Read More »

Kongamano na maonyesho ya awamu ya Saba ya Afya ,Sayansi,na Biashara Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanyika Machi 23,hadi 29 , 2019 jijini Dar es Salaam

_DSC8660

 Mganga Mkuu wa Serikali,Profesa Mohamed Bakari akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba watanzania kujitokeza  katika kongamano na  maonyesho ya saba ya Sayansi na Biashara ya  jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 27-29 mwaka huu,katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi mkuu wa NIMR Prof. Yunus D Mgaya …

Read More »

Daraja la Momba Kufungua fursa za kiuchumi kwa Wanarukwa.

IMG_7034

Daraja la Momba linalounganisha Mkoa wa Rukwa na Katavi lenye urefu wa mita 84 na kugharimu shilingi bilioni 17.7 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (aliyevaa kapelo) pamoja na wataalamu alioambatana nao wakitembea juu ya daraja hilo ikiwa ni ishara ya kuonyesha kuwa daraja hilo lipo tayari kwa matumizi …

Read More »

Prof. Kabudi Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda

2

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Mhe. Dkt. Richard Sezibera. Katika mazungumzo yao, Mhe. Sezibera alimpongeza Mhe. Kabudi kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa …

Read More »

WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE

PIX 1

 Mbunge wa mlimba Susan Kiwanga na mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali wakijadili jambo Fulani katika mahakani ya Mkazi mkoa wa Morogoro kabla ya  kesi yao kusomwa. …………………                      NA FARIDA SAIDY MOROGORO WABUNGE wa Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Peter Lijualikali wa Jimbo la Kilombero  na Suzan Kiwanga wa Jimbo la …

Read More »

SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO WAAMUZI WANAWAKE YAFUNGWA

index

Semina ya kuwajengea uwezo waamuzi wa Wanawake imefungwa leo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya TFF ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF na Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Kagera Saloum Chama akizungumza wakati wa …

Read More »

WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRI JIJINI DODOMA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI KWA WANANCHI WATAKAOHUDUMIWA NA TAASISI ZINAZOJENGWA KWENYE MJI WA SERIKALI

IMG_5486

Muonekano wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora linalojengwa katika mji wa serikali Ihumwa, jijini Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akiwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR

PMO_5387

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapindunzi  ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Machi 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Pili wa …

Read More »

BADILI FIKRA ILI KUMKOMBOA MWANAMKE –DKT. JINGU

1

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John  Jingu  akihutubia vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya  Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani Mapema leo Jijini Dodoma. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Jinsia Bi. Grace Mwangwa akitotoa ufafanuzi wa awali kuhusu  Maadhimisho ya  Siku ya Kimataifa ya Wanawake …

Read More »

Taxify kuanza kufahamika kwa jina la ‘Bolt’

thumbnail (1)

NA MWANDISHI WETU KAMPUNI inayotoa huduma za usafirishaji Barani Afrika na Ulaya Taxify imebadilisha nembo na jina lake kuwa ‘Bolt’. Mabadiliko hayo ya alama ya utambulisho wa kampuni yamelenga kuenda sawia na malengo ya kampuni katika huduma za usafirishaji ambapo mpaka sasa tayari imepanua huduma za safari zake kwenye magari …

Read More »

MKE WA MAKAMU WA RAIS SMZ AONGOZA HARAMBEE MUHEZA YA KUCHANGIA UJENZI WA MABWENI MAALUMU KWA AJILI YA WALEMAVU,ACHANGIA MILIONI SITA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WILAYA HIYO

_MG_9304

Mke wa Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Asha Suleiman Idd katika akiwa kwenye halfa hiyo kushoto ni Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye dhifa ya …

Read More »