Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 08

Daily Archives: March 8, 2019

WAZIRI UMMY ANG’AKA MIKOPO KIDUCHU KWA WANAWAKE

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.ummy Mwalimu akijadiliana jambo na Msanii Nurdin Bilal “Shetta” mara baada ya kuzindua kampeni ya SAWA ya Kupambana na Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto inayomshirikisha Msanii Nurdin Bilal “Shetta” wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo Mhe …

Read More »

TUGHE YATOA ZAWADI KWA KINA MAMA MLOGANZILA

Wanawake o4-min

Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa Bi. Jane Mbula (kulia) akizungumza kabla ya kugawa zawadi katika wodi ya kina mama katika Hospitali ya Mloganzila. Dkt. Stahimili Kalulu kutoka kituo cha Afya Kibaha akimpatia mmoja wa kina mama zawadi kwa lengo la kusheherekea pamoja siku ya wanawake duniani. Bi. Stella Apolo …

Read More »

TIGO KUWAWEZESHA WASICHANA KUJIENDELEZA KITEKNOLOJIA

P 1-min

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Simon Karikari, akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam ambapo kampuni ya Tigo ilitoa msaada kwa ajili ya kuwajengea uwezo wasichana na wanawake kwenye sekta ya Habari na  Mawasiliano. Wa kwanza kulia ni Kaimu Balozi wa Marekani …

Read More »

MOI Yaendelea Kuimarisha Huduma za Kibingwa

9

Na; Frank Mvungi- MAELEZO Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetajwa kuendelea kuwa Kituo  Bora cha huduma za Kibingwa ikiwemo upasuaji wa kuondoa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo. Akizungumza katika kipindi cha ’TUNATEKELEZA’ mkurugenzi mtendaji wa MOI Dkt. Respicius Boniface amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano …

Read More »

Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru

1H7A0247

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji K. Mnyepe (kulia) akikabidhi ripoti za ukaguzi za Chuo cha Diplomasia, kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (PCCB), Bw. Diwani Athumani kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa tuhuma za …

Read More »

BI.GAUDENSIA KABAKA ATOA NASAHA NZITO KWA WANANCHI PEMBA

DSC_2308-min

MWENYEKITI wa UWT Taifa Bi.Gaudensia Kabaka akizungumza na Wana CCM katika Tawi la CCM Kangani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya Utekeleaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/2020 Kisiwani Humo ……………………………. NA IS-HAKA OMAR,PEMBA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewasihi wananchi wa kisiwa cha Pemba, …

Read More »

NDITIYE AFUNGUA KIKAO CHA WADU WA SEKTA YA TEHAMA KUTOKA SERIKALINI, SEKTA BINAFSI, TAASISI ZA ELIMU YA JUU NA UFUNDI

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifungua kikao cha wa wadau (hawapo pichani) wa Sekta ya TEHAMA kutoka Serikalini, sekta binafsi, taasisi za Elimu ya Juu na Ufundi kilichofanyika kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma, mkoani Dodoma Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akijadiliana …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WABAKI ASILIMIA TATU

images

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Kijamii, Ephraem Kwesigabo, akizungumza na waandishi wa habari hawapo (pichani) leo jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi wa Februari mwaka huu. ………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imebainisha kuwa kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa …

Read More »

TSC yashiriki Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani

1

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakiwa katika hali ya furaha wakati wa Maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Machi 8, 2019 jijini Dodoma. Wafanyakazi wa TSC wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani jijini Dodoma. Watumishi kutoka Taasisi mbalimbali wakiwemo …

Read More »

KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA

PMO_5561

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Efraim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………………………………. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kifo cha …

Read More »

SHIWATA YAPATA PIGO JINGINE KWA KIBONDE

index

Na Mwandishi Wetu SIKU nne baada ya kuzikwa mwanachama wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba Mtandao huo umepata pigo jingine kwa kifo cha mtangazaji nguli Ephraim Kibonde. Mwenyeki wa SHIWATA, Deo Kway alisema mtandao huo utamkumbuka marehemu Kibonde …

Read More »

Serikali yashauriwa kuongeza usimamizi wa rasilimali mkaa

IMG_20190307_143914_2

Ofisa Misitu wa Mkoa wa Morogoro, Joseph Chuwa akitoa maelezo kwa Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro Hilary Sagara aliyevaa suti nyeusi kuhusu tanuru la mkaa la kisasa lilopangwa na wanakijiji cha Mlilingwa, waliopatiwa mafunzo na Mradi wa TTCS. (Picha na Suleiman Msuya). ………………………………………………………………………. NA MWANDISHI WETU, MOROGORO MKURUGENZI …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN, AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA TOUCHROAD GROUP YA CHINA MR. HE.LIEHUI IKULU ZANZIBAR LEO

IMG_9588

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,8-3-2019,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa …

Read More »

WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU POLISI JAMII KUKAMATA BODABODA, ASKARI POLISI KUKAMATA VYOMBO VYA MOTO BILA KUVAA SARE ZA JESHI

PIX 3

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimfafanulia jambo Katibu wa Umoja wa Waendesha Bodaboda Mkoa wa Morogoro, Juma Bega, alipokuwa akilalamika kuhusu Polisi Jamii kuwanyanyasa waendesha bodaboda, katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Mafisa B, Mwembesongo, mjini humo, leo. Picha na Wizara …

Read More »