Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 09

Daily Archives: March 9, 2019

MAFANIKIO KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,KIJAMII NA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR NI UTEKELEZAJI NA USIMAMIZI BORA WA SERA ZA CCM-DK.MABODI

DSC_0487-min

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi akiwahutubia Wana CCM na wananchi kwa ujumla katika kongamano la Kitaifa la UWT lililofanyika katika uwanja wa kufurahishia watoto Tibirinzi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba KATIBU Mkuu wa UWT Mwl.Queen Mlozi akizungumza katika kongamano hilo la UWT lililofanyika …

Read More »

CHADEAMA YATIMUA WENYEVITI WAKE NJOMBE

unnamed

NJOMBE  Chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA kimemvua uanachama mwenyekiti wa mtaa wa Melinze mjini Njombe ndugu Erick Msemwa pamoja na viongozi wengine watatu wa serikali ya mtaa kwa tuhuma za kukiuka kanuni na taratibu za chama ikiwemo kufanya kazi na chama cha mapinduzi TAARIFA YA JOCTAN MYEFU KUTOKA NJOMBE …

Read More »

DKT ALEXANDER KYARUZI AONGOZA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO KUTEMBELEA MIKOA YA KUSINI KUJIONEA MIUNDOMBINU YA UMEME

b4

  NA MWANDISHI WETU, SONGEA MWENYEKITI wa Bofi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO,  Dkt. Alexander Kyaruzi  akiaambatana na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika  hilo wamefanya ziara katika Mikoa ya Iringa Njombe pamoja na Ruvuma ili kujionea maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Shirika katika Mikoa hiyo. …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU EPHRAIM KIBONDE

4-4

Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Harrison Mwakyembe akiweka shada la maua kwenye kaburi la Ephraim  Kibonde wakati wa mazishi yaliyofanyika Kinondoni jijini Dar es Salaam leo na kuhudhuria wana waombolezaji, Ndugu Jamaa na Marafiki mbalimbali Mungu aiweke Roho ya Marehemu Ephraim Kibonde Mahali Pema Peponi Amen. Wabunge akiwemo Mbunge …

Read More »

AGA KHAN FANYENI MAPITIO YA GHARALAMA ZENU-MAJALIWA

PMO_5854

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua  awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es …

Read More »

KIKWETE AONGOZA MAELFU KUAGA MWILI WA KIBONDE

IMG_1281

Na Humphrey Shao, Rais Mstafu wa Awamu ya tatu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete(MB) Wameongoza Maelfu ya Watanzania katika kuaga Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm Marehemu Ephrahim Kibonde nyumbani kwa Baba yake Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam. Katika ibada hiyo ya …

Read More »

MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYOFANANA ZANZIBAR

????????????????????????????????????

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mamboyakale  Khadija Bakari Juma akifunguwa Kongamano la Wanawake Chama cha Walimu  Zanzibar (ZATU­) katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Taasisi Mjini Zanzibar (kulia) Zuwena Iddi Wakili Mwenyekiti wa Wanawake  ZATU, na Kaimu Afisa Elimu Mkoa Mjini Magharib Bisomoe Said Mussa. …

Read More »

THTU YATOA MAPENDEKEZO BAJETI YA MWAKA 2019/20

MWANANCHI

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU) Dkt.Paul Loisulie,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodma alipokuwa akitoa taarifa ya mapendekezo bajeti ya mwaka 2019/20. Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog ………………………. Na.Alex Sonna,Dodoma Chama cha wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania (THTU) kimeishauri serikali …

Read More »

WANAWAKE MSINYAMAZIE RUSHWA YA NGONO

1.

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani akionyesha Bidhaa zinazozalishwa na Kikundi cha wanawake wilayani Ileje Maafisa kutoka katika Dawati la Jinsia Wilayani Ileje wakiandamana katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mapema leo ………………….. Wanawake Mkoani Songwe wameaswa …

Read More »

Mkurugenzi Sumbawanga Manispaa Aja na “Talent Search”

IMG_20190302_175242

Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya (Kushoto) akipokea “T-Shirt” ya mashindano kutoka kwa Afisa utamaduni wa manispaa hiyo Kiheka Charles (kulia).  Mmoja wa Wasanii wa Sumbawanga akitoa burudani katika mashindano ya “Sumbawanga Talent Search”  Mmoja wa Wasanii wa Sumbawanga akitoa burudani katika mashindano ya “Sumbawanga Talent Search”  Mmoja wa Wasanii …

Read More »

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS NDANI YA TANZANITE WOMEN’S DAR

index

Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin Jumamosi hii ya Machi 9, ataingia na Wanawake wa Tanzania kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwa kuonesha Mitindo yake katika jukwaa hilo maalum litakalo wakutanisha pia wabunifu mbalimbali. Hii itakuwa ni fursa ya kipekee kwa watu mbalimbali watakaojitokeza kushuhudia Mama wa mitindo ambaye kwa …

Read More »

MPINA AJA KIVINGINE KUONDOA UVUVI HARAMU BAHARI YA HINDI

1-2

Wananchi wa Kilwa Kivinje wakishangilia na kusalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina (Mb), mwenye koti la bluu mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara. Picha na John Mapepele Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina (Mb), mwenye miwani akiwasili katika eneo la …

Read More »