Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 10

Daily Archives: March 10, 2019

MANE AING’ARISHA LIVERPOOL YAITANDIKA 4-2 BURNLEY

10802298-6791909-image-a-47_1552221928154

Sadio Mane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 29 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 19 na 67, wakati ya Burnley yamefungwa na Ashley …

Read More »

YANGA SC YAICHAPA 2-1 KMC LIGI KUU TANZANIA BARA

1O3A8842

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 2-1 KMC jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Yanga inayofundishwa na kocha Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ifikishe …

Read More »

NDG.GAUDENSIA KABAKA ATUA UNGUJA KUENDELEA ZIARA YAKE.

IMG_2176

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akipokelewa na Viongozi mbali mbali wa CCM na Jumuiya zake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Unguja akitokea Pemba. Viongozi mbali mbali wa UWT Taifa wakiwa katika Chumba cha Wageni Mashuhuri(V.I.P),mara …

Read More »

Ethiopian Airlines: ‘hakuna manusura kwenye ajali ya ndege ya Boeing 737

_105965090_6bf2bde2-3a4c-4b7a-be1a-884aaebd4a96

Mkurugenzi Mkuu wa Ethiopian Airlines akiwa katika eneo la tukio la ajali …………………………………………………………….. Famlia na marafiki wanasubiri taarifa mjini Nairobi kuhusu hatma ya wapendwa wao waliokua wamesafiri kwa ndege ya Ethiopia iliyopata ajali leo jumapili asubuhi. Ndege hiyo ilitarajiwa kuwasili mjini Naorobi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo …

Read More »

Simbu, Sulle watangulia Olimpiki Tokyo 2020

Simbu+pic

NA MWANDISHI WETU  WANARIADHA wa Tanzania, Alphonce Simbu na Agustino Sulle wamekuwa wa kwanza kufuzu kwa michezo ya Olimpiki itakayofanyika jijini Tokyo Japan mwakani. Wanariadha hao wamefanikiwa kukata tiketi hiyo jana nchini Japan, baada yam kukimbia muda mzuri katika Mbio za Lake Biwa Marathon, ambazo zinatambulika na zimepitishwa na Shirikisho …

Read More »

WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WAPINZANI WANAOMTUKANA RAIS KUPITIA MIKUTANO YA NDANI, ASISITIZA MIKUTANO YA SIASA YA HADHARA MARUFUKU

PIX 1.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa Kilosa, Mkoani Morogoro, jana, ambapo amewaagiza Makamanda wa Polisi nchini kuwachunguza na kuwakamata wapinzani wanaomtukana Rais pamoja na Serikali kwa ujumla kupitia vikao vyao vya ndani vya siasa, nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya …

Read More »

Halmashauri ya Kilolo Yakopesha Wanawake Navijana Tsh Milioni 110

01

Mwenyekiti wa Halmashauri ya  wilaya ya Kilolo mkoani IringaVallence Kihwaga (mwenye koti jeusi kushoto) na mwakilishi wamkurugenzi wa Halmashauriya Kilolo Dr John Mwingira ( wapili kulia)  wakiwakabidhi  mfano wahundi ya shilingi milioni 110  wanawake wa vikundi 59 vya wajasiliamali wilaya ya Kilolo kwa  niaba ya vikundi vya walamavu na vijana  …

Read More »

Nyongo abainisha changamoto zinazoikabili sekta ya madini

maswa two

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza na wananchi wa Maswa ……………………………………………………………………………….. Licha ya kwamba Wizara ya Madini kuwa miongoni mwa wizara nyeti katika kufikia uchumi wa viwanda, inakutana na changamoto nyingi. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki katika mkutano wa hadhara …

Read More »

NFRA LAZIMA INUNUE MAZAO YA KUTOSHA KWA WAKULIMA

1R6A8365

Mbunge wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe ambaye pia ni Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akishiriki shughuli za maendeleo pamoja na wananchi wakichimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Masangula iliyopo katika kata ya Nyimbili akiwa katika ziara ya ukaguzi na utekelezaji …

Read More »

Wananchi Waaswa Kufanya Kazi Kwa Bidii na Weledi

1

Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Bw. Athmani Masasi akisisitiza  umuhimu wa wananchi wa Wilaya ya Chamwino hasa Vijiji vilivyopatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo baada ya kurasimisha mashamba yao na  kupatiwa hati za haki miliki za kimila za kumiliki ardhi ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuwakwamua …

Read More »

AGHA KHAN BADILISHENI SKELI YA MISHAHARA-MAJALIWA

index

*Asema lengo ni kuondoa manung’uniko kwa watumishi wa taaluma moja  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ameutaka uongozi wa Hospitali ya Aga Khan uandae skeli ya mishahara inayofanana kwa watumishi wenye taaluma zinazofafana ili kuondoa manung’uniko baina ya wafanyakazi wa taasisi hiyo.  Ameyasema hayo kutokana na malalamiko ya watumishi wa taasisi hiyo …

Read More »

WIZARA YA MAJI YAFUATILIA UCHAVUZI WA MAJI KIBONDO

IMG-20190309-WA0038

Wizara ya Maji inafutilia kwa karibu  malalamiko kuhusu uchafuzi wa maji Kibondo mjini kama ilivyoripotiwa na baadhi ya wateja katika mabandiko ya mitandao ya kijamii. Ukaguzi wa mfumo wa maji umeanza kwa kuwashirikisha viongozi na wataalam wa maji ambapo huduma ya maji ipo sawa kwa eneo kubwa. Ukaguzi unawahusisha  wataalam …

Read More »