Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 11

Daily Archives: March 11, 2019

WAZIRI BITEKO ATETA NA WENYE NIA YA KUWEKEZA NCHINI

3 W-min

Waziri wa Madini Doto Biteko akimsikiliza Rais wa Kampuni ya Amtec Resources Management Ltd ya nchini Uingereza, Dkt. Peter Gollmer. Waziri wa Madini Doto Biteko akizungumza jambo na Rais wa Kampuni ya Amtec Resources Management Ltd ya nchini Uingereza, Dkt. Peter Gollmer. Anayefuatilia ni Mkurugenzi wa Ssera na Mipango Wizara …

Read More »

ZIARA YA BI.GAUDENSIA KATIKA WILAYA YA DIMANI UNGUJA

DSC_2400-min

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka akikagua bidhaa zinazotengenezwa na Akina Mama wa Kanisa la Anglicana huko Mbweni Zanzibar. WANAWAKE wa Kanisa la Anglicana wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka aliyefika katika Kanisa hilo kwa ajili ya kuwasalimia Akina …

Read More »

MSAFARA WA JAFO WAZUILIWA NA WAFANYABIASHARA MLANDIZI

IMG_20190311_134337_9

NA MWAMVUA MWINYI, MLANDIZI. MSAFARA wa Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo umezuiliwa na watumiaji wa Stendi ,wafanyabishara wa soko na wauza mitumba (WARUMBA) eneo la Mtongani Mlandizi ,wilayani Kibaha kupinga kuhamia kwenye eneo jipya la Mama Salmini ambako wanadai hakuna maslahi kwao.  Kufuatia hali hiyo ametoa maelekezo kuwa kutokana na …

Read More »

TAARIFA MUHIMU KUTOKA TFF

index

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana jana Jumapili Machi 10,2019 na kupitia mashauri mbalimbali yaliyofikishwa kwenye Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Wakili Kiomoni Kibamba. KUSIKILIZA MASHAURI: KESI NAMBA 01: SHAURI LA ABDALLAH SHAIBU (MCHEZAJI WA YANGA SC) Mchezaji Abdallaha Shaibu amelalamikiwa mbele ya kamati …

Read More »

PBZ KUANZA KUTOA HUDUMA YA BUREAU DE CHANGE

index

Na. Thabit Madai, Zanzibar Mara baada ya BOT kufungia vituo vya kuuzia na kunulia pesa za kigeni,Benk ya watu wa Zanzibar PBZ kesho  rasmi wanaanza kutoa huduma hiyo mara baada ya kupatiwa leseni na BOT. Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya watu wa Zanzibar …

Read More »

SERIKALI MTANDAO KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

DZ9A3836-min

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Kuwe Bakari akisisitiza jambo wakati wa Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mandao 2019 UDOM-CIVE ……………………………. Na Mambwana Jumbe Utekelezaji wa Serikali Mtandao ni moja ya sehemu muhimu ya maboresho yaliyofanyika katika Utumishi wa Umma, ambao umesaidia kurahisisha utoaji wa …

Read More »

Wafanyakazi wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kushirikiana na kutengenezeana Fursa Mbalimbali za Maendeleo Ili Waweze kujikwamua kiuchumi

Picha 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara kuu ya Afya Dkt. Zainab Chaula akizungumza na wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika machi 8 mwaka huu katika ukumbi wa …

Read More »

WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO

????????????????????????????????????

Naibu Katibu Mkuu –Afya, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Dorothy Gwajima akikagua ramani ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Chamwino wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utendaji kazi wa vituo vya afya vya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo Jijini Dodoma. …

Read More »

SIMAMIENI NIDHAMU MASHULENI KULETA MABADILIKO

????????????????????????????????????

Naibu Katibu Mkuu, Elimu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Tixson Nzuda akiwa na Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Dkt.Dorothy Gwajima wakiwa katika kikao kazi cha kujadili muelekeo wa masuala mbalimbali ya maendeleo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Elimu, …

Read More »

UVCCM WAFUNGUKA UAMUZI WA CCM KUMPOKEA LOWASSA

JAMES

Mwenyekiti wa UVCCM, Kheri James,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma alipokuwa akizungumzia uamuzi wa CCM kumpokea Edward Lowassa. Katibu Mkuu wa UVCCM Bw.Raymond Mwangala,akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) leo jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Bi.Tabia Mwita akiongea na waandishi wa habari …

Read More »

TFF YASHUSHA RUNGU KWA BEKI KISIKI WA YANGA

pic+ninja

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia kwa Ofisa Habari wa TFF, imetangaza kumfungia mechi tatu mchezaji wa Yanga Abdalah Shaibu “Ninja’. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, amesema Kamti hiyo imefikia maamuzi hayo baada ya kumchezea rafu kwa kumpiga kiwiko mchezaji wa …

Read More »

MAONYESHO YA UJASIRIAMALI VIJANA WA ARUSHA WASHIRIKI KUKUZA MBINU ZA UJASIRIAMALI

IMG_5730

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabiel Daqqaro akipata Maelezo juu ya bidhaa zinazozalishwa na vijana kutoka Majukwaa ya Vijana Wilaya ya Arusha yaliyoandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la INFOY.Picha na ahmed mahmoud Arusha …………………………………………………………………………. Na Ahmed mahmoud,Arusha. Majukwaa ya Vijana  yaliyoko katika kata mbali mbali za Wilaya ya Ausha …

Read More »

KCB BANK TANZANIA BIASHARA CLUB YAFANYA SEMINA ARUSHA

Pic001

Bi. Christine Manyeye,Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusaino akijibu maswali kutoka kwa wafanya biashara wa jijini Arusha katika warsha ya Biashara Club iliyofanyika Mt. Meru Hotel tarehe 05 Machi 2019. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wafanyabiashara zaidi ya 250 iliwajumuiasha wadau mbali mbali katoka sekta ya utalii wakiwemo Tanzania National Parks Agency (TANAPA), Tanzania Revenue Authority (TRA), Tanzania …

Read More »

Kamati ya kitaifa mradi wa BEAR II yakutana Dar

JENNIFER

 Ofisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Jennifer Kotta akitambulisha meza kuu wakati wa kikao cha kamati ya kitaifa cha kupitia ratiba ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha elimu ya ufundi (BEAR II) kwa lengo la kuwajengea uwezo vijana katika ajira mbalimbali sokoni …

Read More »

MAKAMU WA RAIS ANAONDOKA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 UTAKAOFANYIKA KAMPALA – UGANDA

Hon. Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki kwenye Mkutano wa mwaka 2019 wa ‘Africa Now Summit’unaotarajiwa kufanyika tarehe12 na 13 Machi.Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2019

PHOTO MEDIA 3 MWANZA

Kampuni ya TBL Group chini ya kampuni mama ya  kimataifa ya ABInBev imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2019,kwa kushirikisha wafanyakazi wake  katika viwanda vyake nchini vilivyopo katika mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha. Katika maadhimisho hayo wafanyakazi Wanawake walipatiwa mada mbalimbali za kuwajengea uwezo wa kujiamini …

Read More »

DC MURO AWAPA RAHAA WAFUGAJI

index

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro amekabidhi mabwawa manne makubwa yenye uwezo wa kuhifadhi na kuvuna maji ya Mvua Milioni Thelathini na nane za maji ya mvua ( 38,000,00 ) kwa Viongozi wa kata ya OLDONYOSAMBU ambao wengi wao wanatoka katika maeneo ya Wafugaji kwa ajili ya …

Read More »