Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 12

Daily Archives: March 12, 2019

WAUGUZI WASISITIZA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

0002

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini Sista Agnes Mtawa (kushoto) akimkabidhi Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mloganzila Dk. Julieth Magandi kitabu cha maadili na miongozo ya wauguzi na wakunga, leo hospitalini hapo. Mratibu wa leseni na Maadili Sista Jane Mazigo akitoa mada katika mafunzo ya siku …

Read More »

Prof. Kabudi na Dkt. Mahiga Wakabidhiana Ofisi

1H7A0660

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akikabidhi Taarifa ya Makabidhiano ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.  …

Read More »

MGANGA MKUU ASHAURI KUJENGWA KWA HOSPITALI KUBWA NCHINI

001

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Kambi akizungumza kwenye mafunzo ya  kuwawezesha wataalam wa afya kusimamia upumuaji kwa wagonjwa waliolazwa ICU. Mafunzo hayo yanafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Kambi wakati akifungua mafunzo hay oleo. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu …

Read More »

MKUTANO WA AFRICA NOW WAFUNGULIWA LEO JIJINI KAMPALA

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa na mwenyeji wa Mkutano wa Africa Now Summit 2019 Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Rais wa Somalia Mhe. Mohamed Abdullahi Mohamed (kulia) wakati wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano katika hoteli ya …

Read More »

WAZIRI KAIRUKI AMKABIDHI RASMI WIZARA, BITEKO

index

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Angellah Kairuki, amemkabidhi rasmi majukumu ya Uwaziri wa Wizara ya Madini, Doto Biteko katika kikao kilichohudhuriwa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Waziri Kairuki amemshukuru Waziri Biteko kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa Waziri wa wizara hiyo na kueleza …

Read More »

BI.GAUDENSIA ATUA KUSINI UNGUJA

DSC_0247-min

MWENYEKITI wa UWT Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akizungumza na Akina Mama Wajasiriamali wa Jimbo la Peje katika ziara yake Wilaya ya Kusini Unguja. MWENYEKITI wa UWT Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akikabidhi Saruji mifuko 100 iliyotolewa na Wabunge, na Wawakilishi wa Viti Maalum wa Mkoa huo kwa uongozi wa Hospitali ya …

Read More »

BODI YA WAKURUGENZI TANESCO YATEMBELEA KATAVI

DSC02302

  Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo balozi James Nzagi akizungumza jambo mbele ya wajumbe wenzake na wafanyakazi wa TANESCO mkoani Katavi. Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO wakishuka katika moja ya mashine ya kufua umeme. Aliyeko mbele ni meneja wa TANESCO mkoa wa Katavi Felix Olang’ Wajumbe wa …

Read More »

HOTEL YA ILBORU SAFARI YATEKETEA KWA MOTO

IMG-20190312-WA0001

Picha ni sehemu ya vyumba vya kulala wageni kwenye hotel ya Iboru Safari lodge baada ya kuzimwa Moto vikiwa vimeteketea paa lote picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha. ………………………………………………………………………………… Na Ahmed Mahmoud,Arusha Hoteli ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge inayomilikiwa na kanali Mstaafu wa Jwtz,Mika Metil, iliyopo Ilboru wilaya ya …

Read More »

MKUU WA WILAYA KINDONDONI AONGOZA KIKOSI CHA POLISI KUKAMATA MAGENDO MBWENI, NG’OMBE WATUMIKA KUFAULISHA MIZIGO KUTOKA KWENYE BOTI

1

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo mkoani Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye kituo cha Polisi cha Mbweni baada ya kufanya doria na kukamata magendo ya vitu mbalimbali vilivyokuwa vikivushwa kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara. Vitu vilivyokamatwa katika doria hiyo ni Sukari ya viwandani …

Read More »

WANAFUNZI 300 WA JESHI LA AKIBA WAHITIMU MAFUNZO ARUSHA

IMG_20190311_120323

Wahitimu wa Jeshi la Akiba jijini Arusha wakifanya Maonyesho ya Ukakamavu  katika mahafali yao ambapo ,wanafunzi 300 wamehitimu mafunzo hayo.Picha na Mahmoud Ahmad Arusha    ………………………… Na Ahmed Mahmoud,Arusha Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Gabriel Daqqaro  amefunga rasmi mafunzo ya  jeshi la akiba lililoshirikisha zaidi ya wanafunzi  300  huku akiwataka  jamii …

Read More »

WANANCHI WAJITOLEA KUWEKA ALAMA ZA BARABARANI

DSC_7313-min

Mafundi wakiweka alama za vivuko  barabarani katika eneo la Nane nane  jijini Arusha baada ya Wananchi  kata ya Lemara kuchangia zoezi hilo ambalo limefanyika kwa kushirikiana na Wataalamu kutoka Jiji la Arusha ili kuzuia ajali za barabarani hususan kwa wanaopita kwa miguu. Picha na Mahmoud Ahmad Arusha …………………………. Na Ahmed …

Read More »

WASONGA ATANGAZA NIA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS TLS

IMG_9509

Wakili wa Kujitegemea Godfrey Wasonga,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) . Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog ………………………… Na.Alex Sonna,Dodoma Wakili wa Kujitegemea Godfrey Wasonga ametangaza kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria …

Read More »

TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA BRAZIL KUINUA KILIMO CHA PAMBA

IMG_1949

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Innocent Bashungwa akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa zao la Pamba (Cotton Victoria) uliofanyika katika kituo cha Utafiti TARI-Ukiriguru Mkoani Mwanza. Sehemu ya washiriki wa mradi wa uendelezaji wa zao la Pamba (Cotton Victoria) uliofanyika katika kituo cha Utafiti TARI-Ukiriguru Mkoani Mwanza wakifatilia …

Read More »

NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AGAWA TANI MOJA NA NUSU YA SARUJI KIPAWA

IMG_1655

Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akizungumza na wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kabla ya kugawa Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kipawa ambayo inatraji kufanyiwa ukarabati. Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na …

Read More »