Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 13

Daily Archives: March 13, 2019

VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI WAMETAKIWA KUWAJIBIKA WILAYANI GAIRO

PIX.1

Mkurugenzi  wa Halmashauri ya wilaya ya Gairo  Bi. Agnes Mkandya akizungumza jambo Fulani na wananchi waliojitokeza katika kiao kati ya Mkulugenzi wa Halmashauri ya Gairo, shirika la CREASD na wananchi kilichofanyika Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika kikao kati ya Mkulugenzi wa Halmashauri ya Gairo , shirika la CREASD na wananchi kilichofanyika katika …

Read More »

Diwani wa kata ya Lemara Profesa Raymond Mosha akikabidhi baiskeli ya walemavu kwa mkazi wa kata hiyo George Makinda

????????????????????????????????????

………………………………………………………. Na Ahmed Mahmoud,Arusha. Diwani wa Kata ya Lemara ,Profesa Raymond Mosha ameanzisha mpango wa kuwafikia watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao pamoja na nyenzo wanazohitaji ikiwemo baiskeli maalumu za walemavu. Akizungumza katika zoezi la kukabidhi baiskeli ya mlemavu mwenye umri wa miaka zaidia ya sitini mkazi anayeitwa Mzee …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA LEO

A1

AJALI YA MOTO KUUNGUZA NYUMBA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI. Mnamo tarehe 12.03.2019 majira ya saa 20:00 usiku huko katika Kitongoji cha Mapogoro, Kijiji cha Kapunga, Kata ya Itamboleo, Tarafa ya Ilongo, Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, CATHERINE MFIKWA [32] Mkazi wa Kapunga pamoja na mtoto wake …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MOROCCO HAPA NCHINI ALIYEAMBATANA NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KWAO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2a

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco  mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. katikati  ni Balozi wa Morocco hapa …

Read More »

Nafasi za Masomo na Ajira

DODOMAHEADEDPAPERSWAHILI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Nafasi za masomo na ajira Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwahimiza Watanzania wenye sifa kuomba fursa za masomo na ajira zinazotolewa na wadau mbalimbali duniani. Fursa zilizopokelewa mwezi Machi 2019 ni kama ifuatavyo: i. Mafunzo ya Shahada ya …

Read More »

BAADHI YA WANANCHI WADAI VIGUTA MAMILIONI YA FEDHA

IMG-20190312-WA0010

Baadhi ya picha zikionyesha nyumba za sampo zilizokuwa zikidaiwa kujengewa wananchi kwa gharama nafuu ………………………. NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  WANANCHI zaidi ya 200 mkoani Pwani,wanadai kutapeliwa fedha milioni 185 ,kwa ajili ya kupatiwa viwanja na kujengewa nyumba kwa gharama nafuu kupitia kampuni ya Vicoba group union Tanzania (VIGUTA).  Aidha Chamwino …

Read More »

WASANII WAMSAIDIA KIJANA HAMIS ALIYEVIMBA MIGUU,WAISHUKURU SERIKALI

4

WASANII wa fani mbalimbali nchini wameamua kumsaidia kijana Hamisi Salum anayesumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu kwa kumpeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili ili apate matibabu kwani wanaamini atapona na kutimiza ndoto zake.    Akizungumza jana Machi 12, 2019 kwa niaba ya wasanii wenzake, Msanii maarufu nchini Steve Nyerere amesema wanamatumaini …

Read More »

Prof. Kabudi Akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

URUSI1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Prof. Palamagamba J. Kabudi (Mb)  amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Urusi katika Ofisi Ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, Waheshimiwa Mawaziri  wamezungumzia masuala mbalimbali yaliyolenga …

Read More »